Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
Warumi 10:9, 10, 13
Unajiuliza ni mwizi? Hapana! Ana silaha? Hapana! Sasa una jiuliza kwanini itumike nguvu yote ile kwa mtu mmoja ambae anaweza dhibitiwa na watu wawili/watatu bila kutumia silaha?
@goodhealth73970 @Twaha_Mwaipaya Kwani pale walienda kupoka Nchi? Walijiandaa kimipambano na polisi au Uvccm?
Pale mahakamani walienda kusikiliza kesi na wala hawakwenda ili kupigana
Sasa kama ulitaka kuona mpambano basi waitishwe vijana wa ccm nchi nzima na Cdm nchi nzima wapigane alafu baada hapo comment
@privaldinho Nini hiko zaidi ya UCHAWA?
Uzuri wananchi tulisema hatununui jezi na zimewadodea sasa Hatuji uwanjani
Na kingine jezi zote huwaga ni mbaya ila huwa tunanunua kwakia tunaipenda timu ila kwasasa mmeingiza Uchawa kiasi cha kushindwa kutumia maarifa yenu ๐ฎ
@JayleenRickie Si kama wanamchukulia poa,ila wanamuonea wivu lakini pia amekua tishio kwa wahuni na mafisadi wa hii nchi ambao wanajua jamaa akichukua nchi watanyongwa wengine watafungwa maisha kwa mauaji na utekaji kwahiyo wanaona bora WAMUUE ila nalo Mungu ameingilia kati ATAISHI
@TanzaniaOneJezi Mtu mmoja anisaidie ile Crip ya mkenya aliyesema kwamba msanii wetu hawezi kuwasemea wananchi kwakua "JAMAA ANAKULWA NYUMA"
Akasema tena.. WEWE DIAMO....D UNAKULWA KWA NYUMA
Nashida nayo