@freemaker_tz Sikia, Fx kwa asli ni ngumu inahitaji watu wasiokata tamaa na wenye kupenda kujifunza. Wabongo sehemu kubwa kwa asili ni wavivu, hawapendi kujfunza na wanapenda vitu kwa haraka. Nani anaweza komaa 5 au 10 yrs bila result awe tu anajifunza fx hapa bongo? Wapo ila wachache
@freemaker_tz Siyo kweli, kapitieni uzi wa Jeff pale JF, hivi mnakumbuka mbanga za Jangid Plaza ninyi? Kipindi kile hakuna mtu anajua hata Eliot wave watu walikuwa wanajua chart patterns, candlestick, demand na supply, mambo ya Eliot wave na strategy nyingine zilifata baada ya pale
@freemaker_tz Jeff alitangulia, mind you walikuwepo watu wanafanya fx bongo kimya kimya, Jeff aliileta public kupitia JF. Magnetic ni Moja ya wengi walioifahamu kupitia Jeff na kujfunza kwa wanafunzi/wafuasi wa Jeff. Unakumbuka upepo wa Jangid Plaza?