Pamoja na majukumu, kuna namna hii twitter inapelea nisipokuwepo kwa watu wanaoniamini.
Hakuna anaewakumbusha wanaume na madogo janja humu yale ninayoyazungumziaga.
Yale nisemayo yanatokea sana mtaani mpaka kwa watu wangu wa karibu.
Sina budi kubalance hustle na kuwapa nondo.
Hii inaitwa โturn on notificationโ
Kifupi mwanamke mwenye wivu au akiamua tu kukufatilia, ana uwezo mkubwa wa kufanya upelelezi kuzidi hata hao FBI na CIA. ๐ ๐ซต๐พ
Ukosefu wa ajira kwa vijana South Africa ni asilimia 60. Hili bomu hakuna mtu anaweza kulitegua. Ila wanasiasa wanakuwa mamilionea na mabilionea kila siku ila lawama anapewa mzungu.
Dear wafalme,
Ukianzisha na mahusiano mwanamke msomi, muweke wazi kipi unapenda na kipi hupendi.
Kamwe usidhani atakusikiliza baada ya kumuoa.
Kuna maisha baada ya kuchokana kingono, unahitaji HESHIMA
Weka mipaka mapema, wanawake ni wakatili sana kwa wanaume dhaifu.