@DailyLoud BAD GIRL IN BARBADOS (if you do my own I gat you
La-do-mi-re-mi-re-do, body natural, I no care
Trucker lori Mr. Ego, boy so fly like Virgil Abloh) 😎🧐 @wizkidayo & @asakemusik
Baba yangu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje. Mapenzi yako yatimizwe duniani kama huko mbinguni. Unipe leo mkate wangu wa kila siku. Unisamehe dhambi zangu, kama nami ninavyowasamehe walionikosea. Usinitie majaribuni, bali uniokoe na yule mwovu. Amina.