Kuna wakati NDOTO yako itazungumza na wewe kwa kunong'oneza tena kwa kunena kwa lugha.
Lugha ambayo HATIMA yako ndiyo inakuita uindee. Hakuna mtu mwingine anayesikia au kuelewa.
Changamoto ni pale utakapojaribu kumwelezea kila mtu.
Hutoeleweka kirahisi kwa sababu, wao watachokielewa ni udhihirisho wa NDOTO yako kwa matokeo na siyo ufunuo.
@Mikumifinest Enzi za maji kuchemka, nilitoka na fungu Fulani Kubwa nikashuka pale carnival km MDA ya saa 9 usiku, nikasema nibebe mzoga m1 nikajiboost tungi iishe asubuh niamshe, ilibaki kidogo nitoe ukunga km sio mbinu ya kuondoa funguo mlangoni. NILIMPASUA ½ NIUE, Ningedharirika sana.
@CypherSmithRowe Unakaa chini unawaonea huruma!! Sayansi ilianza lini nà Quran iliañdikwa lini?!! Uwezo wa kung'amua na kuelewa tu ndio Kuna tofautisha ukweli na uhalsia wote
Uzuri wa maisha kuna kipengele kinaitwa muda, wakati wako ukifika, kuna vitu wengine walitumia miaka 4 kuvifikia, ila wewe utatumia mwaka mmoja.
Never count yourself late.