@millardayo Hizi data๐ง
Watalii wa ndani wamewazidi Watalii toka nje!
Kutalii ni kukusanya pesa kwenye kibubu, baada ya kulipa ada na mambo mengine
kikijaa unakwenda kutalii.
Asilimia kubwa watz wapo vijijini na hawafanyi hii kitu.
Hii kitu inafanywa na wajanja wacheche Wanaoishi mijini.
@lifeofmshaba@bonifacemwangi Weka ushabiki wa kisiasa mbali.
Hii kibiashara ya utalii haina afya.
Wageni wataogopa shouting za namna hii.
Kumbuka wamekuja kupumzika na kupungiza stress.