@Thommunkondya@safarimlevi Wew endelea kusubir uteuz huko Tunduma hili tuachie wenyew, na tunafurahia pesa yetu kuliwa wala hakuna shida. Punguza mchecheto
@JamiiForums Waliomba radhi? Walimuomba nan hiyo radhi? Ko yule kaomba radhi ila anaepambania haki ya wananchi ni mhaini, ok ngoja tuendeleze tulipoishia