The Universal Declaration of Human Rights (1948)—Article 19 states that "Everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media....
@N37231Grace @AloyceMakotha Mkuu wana akili timamu kabisaa ila hapo kinachofanywa na hao ni kazi ya makusudi c wanalipwa?! Kumbuka wale waliokua wanaandamana Marekani badae wakaenda kuunga mstari wa kulipwa utanielewa kaka😁
@Chaporah2@HildaNewton21 Ukirud kwa Shaid wa nyuma...police ukiunganisha unaipata hyo chain of custod kua police wamejuaje... Lkn ni mambo yamepangwa kupata mtiririko wa uongo uongo
@MNgaleha@JoyceHuru@PMadeleka Yaani ukisikiliza vizur huo ushaidi unaona kabisa wapo mateka ht km hajaona...mtu anasema cjui ninefikaje hapa hyo inatosha kusema sio dhamira yake kua hapo!?
@HildaNewton21 Kwa alie elewa vizur atueleweshe huu utata wa mashaidi vipenyo...inaonekana waliandikwa maelezo tar 4 lkn pia tar 22 na haya ya tar 22 ndo km yaliundwa kimchongo sab hayapo popote je imekuwaje hyo kwa walio elewa hapo!?