@fredyfuam@Ganz4TB@PMadeleka Kwa hatua ilioofikia mtu yeyote alieko ypande wa watesi ni Kumakibuyu tu. Hoja hamziwezi mnajua kutumia dola vibaya tu kwaubabe
@Malyekete@NdolaAlex@AbroadTanzania Wewe ni takataka! CCM inatumia power kumuweka pale. System nzima hata hiyo Mahakama yenyewe haiko huru. Unajua fika kabisa hamna namna yakumkuta Lisu ni akosa ila mnaforce kwavyovyote vile kama mlivyoforce 98% za kura
@Malyekete@NdolaAlex@AbroadTanzania Wewe ni pimbi tu. Yaaani kama unadhani TAL hana akili wewe nitaahira wala haitaki kubishna nawewe. Nimekuja tu kukuambia wewe nimakande
@NAHIRNAHID@Mjukuu_wa_Manda@godbless_lema Wewe ni pimbi maana unajisahaulisha au unasahau haraka! Mbowe, Wenje dk Slaa. Hao wote walikua wakongwe wa siasa nawalisumbuliwa sana. Mbowe alipews hadi kesi ya ugaidi. Leo kiko wapi? Embu acheni hizo. Mange kanyooka sana. Hawa kina Lema waact upinzani wao waache mambo ya mamluk
@UnknownBeing007@godbless_lema Mbowe aLipitishwa huko pia. Alikaa jela karibu siku 200. Alikamatws mada nyingi sana tu. Ila kiko wapi? Mange mnamchukia ila akili yake nikubwa na anaona mbali sana mtake msitake! Huo ndoukweli. Wananchi tushang'atwa na wasaliti yeyote anae tiliwa shaka wananchi watamvaa tu
@EsirEid@godbless_lema@LifeofSteph_1 Mwanangu wewe unajua ulifanyalo. Mbowe na kina Wenje nikwamba hawajawahi pitia haya? Mbowe alipewa kesi ya ugaidi sasa hivi kiko wapi? Lisemwalo lipo kama halipo laja. Kwanini Viongozi watupe mashaka? Wa act reasonably wasitutie mashaka maana tumeshashuhudia usaliti mkubwa.
@Excess300@godbless_lema Mbowe alijitoa hivyo hivyo msijishaulishe, Mbowe alipewq hadi Kesi ya ugaidj, alishakaa lockup sana. Kiko wapi sasa hivi? Kibibi cha Marekani ni bonge la whistle blower! Na kama siyo basi lazima tuwe na tahadhari maana tumeshayaona kqa Mbowe na Wenje. Mange ni genius