@DynamicsNation_ Uko sahihi kwa kiasi kuwa Nikki mbishi, One the incredible na Songa wanaandika sana ila tatizo ni kusema walimfunika Fid Q. Hiiiiiii Young Killer kwenye prime yake alijaribu kushare beat nayeye akakandwa kama chapati. Ninachokiona tu sasa ni Fid amekuwa father tu, Hana tambo