@MassauGamba@bohny_chengula Hiyo gari imegongana na guta iliyokuwa imebeba hizo pipes. Kwa mujibu wa taarifa, hakuna aliyepoteza maisha ila watu wameumia, hasa dereva wa guta. Hilo eneo Lina ajali nyingi na kwa sasa wanapanua Barbara ila kwa speed ndogo mno.
@Roma_Mkatoliki Na ndio maana hata quality ya mijadala yetu wabongo ni huzuni. Bahati mbaya tupo kwenye hizi platforms kubwa tunasomwa na wengi, mwisho wote tunaonekana hamnazo.
@ShundoGaston Nahisi hii kamata kamata ina uhusiano na report ya Jaji Lila itakayotoka. Kunafanyika maandalizi chadema waangushiwe jumba bovu kama alivyosema Lema
@FarahOm91196252 Tofauti ni kwamba ile ya mwanzo Katuga ndio aliomba rufaa kwa hiyo alikuwa huru ku file application yake siku ya mwisho kabisa inayokubalika kisheria. Hii ya sasa ni Lissu mwenyewe
@leodigardcyrilo@godbless_lema Inawezekana alipambana kwa sababu chini ya Mbowe ni kama aliaza kuwekwa pembeni kama akina Msigwa. So pengine lilikuwa jambo binafsi kwake, na sio mapambano ya mabadiliko
@lifeofmshaba Lakini mbona kama ni kupaliwa kwa kawaida tu?!! Nashangaa kwanini imekuwa ishu. Kikohozi kinaonekana hakipo deep labda kimempata hapo hapo tu