@EliabuDanford Hapo huwa ndiyo simuelewi, alikuwa na power ya kubadili katiba one night kabla ya kungβatuka but he didnβt. Na alijua wazi madhara ya hii katiba.
@MarekaMalili Yes. Kwa kawaida ukimwi hauui mtu bali unashusha kinga yake then anapitiwa na ugonjwa mwingine, so chanzo cha umauti kinachotajwa ni ule ugonjwa uliompitia baada ya kinga kupigika