‼️🚨 Mkutano HARAMU wa Maridhiano‼️
Tumefanikiwa kupata taarifa rasmi kuwa mkutano HARAMU unaojumuisha
vyama FEKI vya siasa na makundi mbalimbali ya chama cha kigaidi CCM
yanayojidai kuwawakilisha Watanganyika yatakutana kujadili kinachoitwa maridhiano na mustakabali wa siasa za nchi Dodoma tarehe 14 Novemba 2026 chini ya Gaidi Mkuu Samia Suluhu.
Tunawatahadharisha wahudhuriaji wa mkutano huu kuwa ushiriki wao ni ushahidi wa kuwa sehemu ya mauaji ya raia wa Tanganyika wapatao 10,000 wasio na hatia kabla, wakati na baada ya Oktoba 2025.
Tunafahamu kwamba baada ya hukumu ya Tundu Lissu, wanaharakati na baadhi ya viongozi wa dini wanaosimama kupinga dhuluma pamoja na viongozi wa kisiasa hasa kutoka CHADEMA wanaosimama kwa dhati kutetea haki za Watanganyika watakamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini na ugaidi
Tunasisitiza kwamba:
i. Maridhiano siyo kufuta ushahidi.
ii. Maridhiano siyo kuwapa kinga waliotenda uhalifu.
iii. Maridhiano siyo kuwalazimisha wahanga kusamehe bila ukweli kujulikana.
iv. Maridhiano siyo kugawana madaraka na kusahau waliopoteza maisha, waliojeruhiwa, waliotekwa, walioteswa na familia zilizopoteza wapendwa wao
Msimamo wetu ni kwamba:
i. Hakuna amani ya kudumu bila haki.
ii. Hakuna maridhiano ya kweli bila ukweli.
iii. Hakuna msamaha wa kitaifa bila uwajibikaji.
iv. Hakuna demokrasia bila Mahakama huru.
v. Hakuna Serikali inayopaswa kujiona iko juu ya sheria.
vi. Hakuna uchaguzi unaoweza kuhalalisha ukiukwaji wa haki za
binadamu
Tusiogope! Tutashinda!
A luta continua, vitória é certa!
Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika!
#FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
‼️JAJI NDUGURU HAKUAZIMISHWA, ALISHIRIKI KWA HIARI KUANDIKA HUKUMU‼️
Taarifa niliyopata ni kuwa Jaji Ndunguru alizunguka kuulizauliza kuhusu cognate offense (yaani kosa dogo) la uhaini. Aling’ang’ania kuwa South Africa treason yaani uhaini Ina makosa madogo. Kwa SA ni kweli kosa linaendana na sedition na incitement lakini aliambiwa na kila aliyemwuliza kuwa kwa Tanzania hakuna kitu kama hiki. Akagoma kusikiliza sasa KAUMBUKA! 🙄
Sasa shida yeye ni mwenyekiti wa jopo na shida kubwa kwa sasa Tanzania hamna dissenting opinion, la sivyo hivyo kuna jaji au majaji wangeweka hukumu tofauti. Na ndiyo maana hukumu zilikuwa mbili. Ile inayomwonyesha Ndunguru peke yake ilivuja kabla ya kupandishwa Tanzilii, ilikuwa ni ya mfumo wa ndani wa mahakama. Hiyo ndo ilikuwa nakala yake aliyotii maelekezo ya Abdul!
Ila uzuri Haki itashinda na washiriki wote wa dhulma watajulikana na kuwajibishwa!
#FreeTunduLissu
‼️🚨IMEVUJA TAARIFA YA UONGO ALIOUANDIKA SUMAI KWA TUME YA LILA‼️
Tume ya Lila imekuwa ikipokea taarifa za kupika na hali mbaya hadi ilibidi waliwekwa kambi wahuni waliofadhiliwa na Abdul ili waandike taarifa za uongo!
Sasa wazalendo ndani ya mfumo wamevujisha na oneni madudu amepeleka huyu SUMAI ambaye alihusika na utekaji wa Djumbe @daviddjumbe na mauaji ya Okt alionekana kwenye video!
Anadai alipewa fedha asambaze watu wakachome mali na kuwa sisi (cheki mlolongo wa watu yaani wanaharakati wote wa mitandao kawataja) eti tulimtafuta na kumpa fedha alafu tukaendelea sijui kumshinikiza!
We Sumai usijione hodari! Sisi hatujakutisha wala kukuongelesha /- mi sijawahi hata kuongea na wewe! Aliyekulipa pesa ufanye maafa ni Abdul!
Tume hii ya Lila kwanza haina uhalali wowote lakini kwa mwendo huu wa kupokea taarifa za kupika kutoka WAUAJI WATEKAJI alafu kutaka kuitumia kutupakazia wanaharakati na wanasiasa wa CHADEMA uhalifu basi wote ni wa hovyo na wahuni! Mkianza kututaja tutajua mnatoa wapi majina yetu! Na huu ujinga tutaipiga vita! Hatuwaogopi maana Mungu wetu hajawahi kushindwa!
Tutaendelea kufuatilia na kuwaanika wahuni wote! Msiogope tumeshashinda ila wamekaza fuvu hawa wapumbavu! ✊🏽🔥
Na #TutaelewanaTu
#FreeTunduLissu #FreeTwahaMwaipaya
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623.
Ukisoma Luka 6:23 inasema “Furahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.”
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya Tundu Lissu ni kusudi la MUNGU tusihuzunike sana.
USHINDI UNAKUJA NA HAUPO MBALI.
GOOD MORNING.
REPOST 200
#FreeTunduLissu
Kwa ambao hamuelewi, why suddenly mashoga wamekuwa na confidence kubwa hivi ni sababu wametumwa na serikali yenyewe ili serikali iweze kujitetea UN kuwa Tz kuna haki za binadamu.
Serikali haram iko kwenye matatizo juu ya haki za binadamu, na hii wiki iliyoisha kulikuwa na hearing juu ya hili so wakaona wawatumie hawa kuonyesha kuna haki za binadamu, ila serikali haram hawana akili maana kwa sasa huko UN wanachomaanisha ni haki za watu kuongea, uhuru wa vyombo vya habari, haki za wananchi kuandamana bila kupigwa risasi, haki ya kuwa na demokrasia, haki ya Watanzania kutobambikiziwa kesi za uhaini na Ugaidi.
@UNHumanRights@UN_HRC The Tanzania government is gaslighting you.
The first video was taken at a police station in Zanzibar he was raped by the police after this video was taken. He was raped because he is from Mainland Tanzania and gay.
The Tanzanian police terrorizes everyone, gays and non gays. We are all living in fear.
Kifungo kwa Tundu Lissu ni ukiukwaji wa haki ya kujulishwa kosa na kujitetea kwa upande mmoja na kukiukwa kwa haki ya kushitakiwa kwa kosa ambalo lipo kisheria. Kwa ujumla anatumikia adhabu kwa kosa lisilokuwepo.
MSIKUBALI UPOTOSHAJI 👇:
Ili MAHAKAMA iweze kutumia kifungu cha 319(1) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, KUMTIA MTU HATIANI KWA KOSA DOGO, ni LAZIMA MAHAKAMA IOMBWE (the Court has to be MOVED) na JAMHURI kupitia HATI YA MASHITAKA, kufanya hivyo. Kwa LISSU, hilo HALIKUFANYIKA.
Majuzi mdau mmoja alimtumia DM #Jasusi kumuomba atoe darasa la jinsi ya kuwatambua watu wa kitengo waliojipenyeza kwenye harakati.
Jasusi akamshukuru mdau kwa ombi lake lakini akamwambia kuwa ameshajitahidi sana kutoa elimu ya bure kuhusu hayo masuala, na amechapisha kitabu kabisa kuhusu mada hiyo lakini huwezi kuwalazimisha watu wajali usalama/uhai wao.
Katika ujasusi, huwezi kuwa salama kama huwatambui maadui zako, ndo maana Jasusi anajibidiisha mno kuwatambua hawa viumbe.
Ila kwa kifupi harakati zimevamiwa. Idara ya Usalama wa Taifa sio tu imemwaga watu wake kibao mtandaoni bali pia kuna pesa ndefu ya Samia na Abduli inamwagwa kutengeneza wasaliti miongoni mwa wanaharakati.
Nyakati hatari sana hizi
#DutyToWarn ⚠️ #DutyToInform 📺 #DutyToMonitor 👀 #sunday
https://t.co/iAxIn7B8J4
Hii ndio mindset serikali haram imewatengenezea vijana wa Tanzania na judgement ya jana.
Na siongelei comment hii tu.
Vijana wananifata DM na WhatsApp wanaomba niwa connect na Kagame au Kabila wa Congo.
This is getting out of hand.