VIDEO: RC. Makongoro aipongeza Halmashauri ya Kiteto kusimamia kwa ufanisi miradi iliyoletwa na Mh. Rais Mama Samia Wilayani Kiteto ya zaidi ya sh. Bilioni 1.2.
Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mbeya mjini, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi katika Mikoa ya Mbeya na Songwe Januari 16, 2023.
Waziri Mkuu, @KassimMajaliwa_ akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Songwe, kwa ziara ya kikazi mkoani Mbeya na Songwe Januari 16, 2023. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Dkt. Stephen Mwakajumulo
Naibu Waziri TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Wilaya ya Bunda, Timothy Mwajara na amewata Mkurungenzi Bi. Changwa na Mganga mkuu wa Halmashauri Jamaly Kimamba kujitathimini utendaji kazi kwa kushindwa kusimamia ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Bunda
VIDEO: Katika kuhakikisha Amani na utulivu nchini Tanzania inazidi kutawala, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anajitoa kindaki ndaki na kuwa mfano bora katika kufanikisha hilo.
VIDEO: Katika kuhakikisha Amani na utulivu nchini Tanzania inazidi kutawala, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anajitoa kindaki ndaki na kuwa mfano bora katika kufanikisha hilo.
Mbunge wa Muheza, @MwanaFa amesema atahakikisha hakuna Mwanafunzi atakayekaa chini kwa kukosa kiti au Dawati. Amesema hayo baada ya kuchangia Viti na Meza 500 kwa shule za Msingi na Sekondari wilaya ya Muheza ili kuunga mkono jitihada za Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia
Katika Kutekeleza Mikakati hiyo ya upatikanaji wa Maji, Rais Samia afanya mabadiliko ya kimfumo kama vile kuongeza fedha za miradi na Kuanzishwa kwa Wakala wa maji na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA)
VIDEO: Rais Dkt. @SuluhuSamia aelezea mikakati ya utekelezaji wa Miradi ya maji ili kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wake Mijini na Vijijini inayosababishwa na Mabadiliko ya tabia, Miundombinu chakavu, usambazaji hafifu na ucheleweshwaji kukamilika kwa Miradi ya maji.
KATIBA NI YA WATANZANIA SIO VYAMA VYA SIASA
"Katiba ya nchi ni ya Watanzania sio ya Vyama vya Siasa, kwa hiyo tutakapokuja kuunda Kamati itakayokuja kutushauri tuendeje itaingiza Watanzania wa sekta na nyanja zote" Rais Dkt. @SuluhuSamia
"Kuhusu suala la Katiba, Serikali inadhamiria kuamua mchakato wa marekebisho ya Katiba kwa jinsi tutakavyokubaliana hapo mbeleni, lakini tuko tayari kuamua ili tuanze sasa" Rais Dkt. @SuluhuSamia
CCM INAAMINI KUKOSOLEWA NA KUJIKOSOA
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kukosolewa na kujikosoa, na kwa sababu ndio Chama Tawala wakosoeni, naamini mkitukosoa ni kutuambia changamoto zilipo ili tuzifanyie kazi" Rais @SuluhuSamia
"Serikali inatakiwa kutenda haki kwa watu wote, tunasimama kwenye msingi wa haki kuendana na Katiba na Kanuni zetu, mila na desturi zetu kwani hatuwezi kutenda haki kwa kuiga haki za kwingine lengo likiwa kujenga Taifa lenye umoja, mshikamano na upendo kwa maendeleo" Rais Samia
Mkurugenzi wa @ruwasatz Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wangingโombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda mrefu โniwaombe radhi wananchi wote kwa kusubiri mradi huu kwa muda, karibu miaka kumi"
W.Mkuu @KassimMajaliwa_ amemwakilisha Rais @SuluhuSamia kumjulia hali W.Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Akizungumza kwa niaba ya Rais, amewasilisha salaam za pole na kusema Rais anafuatilia hali ya Lowassa kwa ukaribu na anamuombea afya njema.
Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim (Katikati) wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. Kushoto ni Ahmed Salim ambaye ni Mtoto wa Dkt. Salim
๐ด#LIVE: CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUNGURUMA MDA HUU / UCHAGUZI BUNGE LA MWANANCHI LACHACHAMA,. Tazama Video Kamili Live kupitia YouTube channel yetu Link ๐https://t.co/X3GbmfFRyE