"Nimeshasema hawa viongozi HAWANA ECONOMIC FOCUS, kama wanayo waionyeshe". Father KITIMA anaendelea kupiga Panapouma.
SIKILIZA SHULE KUTOKA KWA PHD KITIMA.
REPOST 200
BADO MASAA 24 TUKOMBOE NCHI YETU.
Muda kama huu Kesho nchi nzima itakuwa na MAANDAMANO ya amani tukiwa na MABANGO yetu.
NB: Tutaandamana kwa AMANI NCHI NZIMA.
REPOST 200
#D9#Disemba9Tunatoka#SiriNiNamba#TUTAKUWEPO🫵😎
Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
Huu ni wimbo wa #lodymusic unaitwa #Tanzania. Ni wimbo mzuri sana LODY ameutunga mahususi kabisa kwa ajili ya mauaji ya raia yaliyotokea Oktoba 2025. Lody ameupandisha YouTube 08.11.2025 siku nne baada ya intaneti kurejea. Maana yake ni kwamba, tukiwa lockdown, watu wanauwawa, Lody alikuwa akitunga wimbo wa faraja. Kitu cha kushangaza na kusikitisha una views 107,547 kwa siku sita. Hivi ndugu zangu, hatuwezi kuwaunga mkono wasanii wanaojitolea kusimama na sisi katika taabu, tunakwenda kusimama na wasanii wa mbogamboga na kuwapa views, hata Mungu atachukizwa na sisi. Twende YouTube tuhakikishe huu wimbo umefika views MILIONI MOJA. TUNAWEZA.
Silence from the Tanzanian media during this political strike says a lot
How come we have to rely on foreign media to know what's happening in our own country?
Our screens are full of election results, but what about the lives that are lost?
We need the @taha_tanzania of our poultry sector, Poultry and Horticulture sector are similar, They are both employment multipliers, Promote cross sectoral linkages, Potential for export and more importantly they touch the lives of ordinary People.
Poultry sector has to be the Next agenda.