Tanzania’s Controller and Auditor General (CAG), Mr. Charles E. Kichere, and the Chair of Indonesia’s Audit Board (BPK), Dr. Isma Yatun, have signed a Memorandum of Understanding (MoU) to strengthen professional collaboration and international public-sector auditing between the two Supreme Audit Institutions.
The partnership will promote capacity building, knowledge exchange, adoption of emerging audit technologies, and enhanced transparency and accountability in the management of public resources. @bpkri@charles_kichere@INTOSAIChair
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Serikali kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 27, 2025. @IkuluM@bunge_tz
CAG, Mr. Charles E. Kichere, with the NBAA Executive Director, CPA Pius Maneno, Deputy Auditor General, Ms. Kubela Mwakatundu, and NAOT Auditors at a training organized by NBAA in collaboration with NAOT. The training was opened by CAG on August 26, 2024, in Dodoma. @AFROSAIE
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (kulia), akikabidhi tuzo maalum kwa Bw. George Haule (katikati), aliyemwakilisha CAG, kutambua mchango wa NAOT katika Kongamano la Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini, linalofanyika Zanzibar. @ikuluzanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma Machi 28, 2024.
CAG, Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kwa Wajumbe wa Kamati za Bunge za PAC, LAAC na Bajeti, kuhusu Ofisi inavyotumia mifumo ya TEHAMA na Maabara ya Kisasa ya Kiuchunguzi (Forensic Lab) katika kuwezesha kazi za ukaguzi kufanyika kwa weledi na kwa ufanisi. @bunge_tz
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi sasa imethibitishwa rasmi kwa Kiwango cha Ubora wa Huduma Kimataifa cha ISO 9001:2015 katika ubora wa huduma zinazotolewa, ikidhibitisha uwepo wa weledi na ufanisi katika kutoa huduma za Ukaguzi zenye ubora na viwango vya juu vya Kimataifa.
CAG, Bw. Charles E. Kichere amefanya kikao kazi na Taasisi Binafsi za Ukaguzi ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya kuboresha uhusiano na ushirikiano baina ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na Taasisi Binafsi za Ukaguzi.#CAG#ofisiyataifayaukaguzi#elimuyaukaguzi
Leading the way towards transparency and accountability! Here's a powerful group photo capturing the Controller and Auditor General (CAG), Mr. Charles E. Kichere alongside the heads of divisions and departments during the annual audit review meeting in Arusha. @AFROSAIE