@SuphianJuma Nyie ndio wachochezi wakubwa tena majizi makubwa siku ccm ikishindwa uchaguzi wengi wenu mtaishia magereza na kuikimbia nchi, na hamjawahi kushinda uchaguzi kuanzia 1995 mnabebwa na vyombo vyenu
@YerickoNyerereT@MissGrandInter Unakaa mwenyewe kwenye kiti unawaza weeee unachukuwa cm unajaza bando alafu unaingia tweet X unaandika huku unarembua na kutabasamu na mwanya unaonekana, huo umoja nani aliuvunja na ilikuwa lini, na sababu zake ni zipi,
@MwanzoTvPlus Huyu Mzee ndio anatuharibia nchi amesha staafu akae atulie ameze Kodi zetu mpaka mwisho wa maisha yake haya mengine atuache , uchaguzi wa vitongoji , viongozi wa kwenye tume ya uchaguzi SI anawafahamu , na katiba inasemaje kuhusu viongozi wa tume , chanzo Cha yote ni kikwete