@izzytz@kaji_sijo Ameingia kama Mwanajeshi na kuwa Rais. Amekuja kufanya Kwa kijeshi Yale ambayo "Siasa" imeshindwa kufanya. Ni Muhimu kutambua ujio wake madarakani na asili Yake.
Watasema mengi kuhusu "Siasa" lakini huu ni utawala wa Kijeshi, Dunia isitegemee political business as usual.
@KennedyMmari Kuna technologies zimetumika hapa engineers wa pyramids hawajataka tuzijue. Wapo wanaosema wajenzi hawa walitoka sayari za mbali. UFOs ๐ฝ
@clitonmichael@TanzaniaLeaks Kwenye hili la Masai Ngorongoro, naona hakuna cha Maridhiano.
Masai kwa Miaka Zaid ya 100 ameishi eneo Hilo, ni sehemu ya identify yake, ni uhai wa Maisha yake.
Serikali ndio wa kusitisha hicho walichokianzisha, kuwaomba radhi, na kuacha waendelee na Maisha Yao.
@thepivotal_tru @TaiwoMuyiwa3 If you download the dating app, you register yourself, you even pay internet bundle for it, you are OPEN for date anyone in the App.
Go download Bible App.