Ogopa sana moyo unaoweza kukufanya bado ujione uko sahihi baada ya kumuumiza mtu/watu. Si kila unachoweza kukitetea mbele ya watu ni sahihi mbele za Mungu. Jichunguze, kubali kosa, omba msamaha na ujifunze. Dhamiri iliyonyamazishwa na kiburi ni hatari kuliko kosa lenyewe!
Skip Netflix for one night.
Use that same 1 hour to study an MIT lecture on money, investing, and wealth creation.
The knowledge you gain may be worth more than 20 years of traditional finance experience.
INSTEAD OF WATCHING NETFLIX TONIGHT.
Spend 1 hour with this.
Claude AI FULL COURSE that teaches you how to BUILD and AUTOMATE anything.
The people who watch this tonight will wake up tomorrow with a new skill.
Watch it and bookmark it now.
Instead of watching an hour of Netflix, watch this 2 hour hour Stanford lecture will teach you more about how LLMs like ChatGPT and Claude are built than most people working at top AI companies learn in their entire careers.
For the first time in human history, a child from Mwamanyiri in Busega, Simiyu Region, rural Tanzania can access the same information, content, and knowledge as a child in the San Francisco Bay Area as long as both have an internet connection.
ISHARA YA MSALABA
1. Ishara ya Msalaba ni nini?
Ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka "Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu."
2. Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani?
Kwa kugusa paji la uso tu amaanisha kukubali kwa AKILI
3. Kwa kugusa kufua tuna maana gani?
Kwa kugusa kifua tuna maanisha KUUPOKEA NA KUUPENDA MSALABA MOYONI
4. Kwa kugusa mabega tuna maana gani?
Kwa kugusa mabega tuna maana tupo tayari KUBEBA MSALABA KWA NGUVU ZETU ZOTE.
5. Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomoni na kifua kabla ya Injili ina maana gani
Ni kama ahadi kwamba
1. Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu
2. Nitalitangaza kishujaa kwa midomo yangu
3. Nitalipenda na kulishika kwa moyo wangu wote.
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina.
MAFUNDISHO JUU YA MSAMAHA KATIKA FAMILIA
Msamaha katika familia ni msingi wa kujenga mahusiano yenye nguvu, furaha, na mshikamano. Familia zote hukumbana na changamoto, hasira, au majeraha ambayo yanaweza kusababisha mifarakano na kutoelewana.
Lakini, msamaha hutoa njia ya kuondoa chuki, kurejesha upendo, na kujenga familia iliyo na utulivu. Hapa kuna faida na jinsi msamaha unavyoweza kufanyika katika familia zetu:
1. Msamaha Unaleta Amani na Utulivu wa Ndani
Msamaha unapofanyika ndani ya familia, unatoa nafasi kwa utulivu na kuondoa mizigo ya maumivu ya kiroho na hasira. Mwanafamilia anayesamehe au anayesamehewa hupata utulivu wa moyo, na hii huongeza furaha ya familia kwa ujumla. Kujifunza kusamehe kunaondoa mazingira ya kinyongo na kuweka nafasi ya amani na upendo kati ya wanandugu, wazazi, na watoto.
2. Msamaha Hujenga Mahusiano Yenye Nguvu
Familia yenye utamaduni wa kusameheana ni familia imara inayoweza kushinda changamoto kwa urahisi. Msamaha huimarisha uhusiano wa kihisia kati ya wanandugu na wazazi, na kuunda hali ya kuaminiana. Mtoto anayejua kwamba anaweza kusamehewa hukua akiwa na uhakika wa upendo na msaada kutoka kwa familia yake, na hii hujenga ujasiri na utayari wa kuhusiana vizuri na wengine.
3. Msamaha ni Msingi wa Kujifunza thamani ya Huruma na Haki
Msamaha unawafundisha wanafamilia kuwa watu wa huruma na kuwafundisha pia kuheshimu haki. Katika familia, msamaha unaleta ufahamu wa kimaadili kwamba makosa yanaweza kutokea, lakini lazima tuyakubali na kujifunza kuyatengeneza.
Hii inawasaidia watoto na wazazi pia kukuza uadilifu na uwajibikaji, jambo ambalo linawaandaa kwa mahusiano mema na ya haki katika jamii.
4. Msamaha husaidia kurekebisha makosa
Katika familia, kila mtu anaweza kukosea kwa njia moja au nyingine – labda kutokana na hasira, uchovu, au kutofahamu vizuri hali ya mwingine. Msamaha unatoa nafasi ya kukubali makosa na kujirekebisha bila kinyongo. Mtoto au mzazi anayejua kuwa anaweza kusamehewa, huwa tayari kutambua makosa na kubadilika, kwani anajua anapewa nafasi nyingine ya kujenga mahusiano bora.
5. Msamaha hutoa mfano mzuri kwa Watoto
Wazazi wanapofundisha msamaha kwa vitendo, wanakuwa mfano wa kuigwa kwa watoto wao. Watoto hujifunza kwa kuona jinsi wazazi wanavyoshughulikia matatizo na kusameheana. Mtoto anayekua katika familia yenye upendo na msamaha, atakuwa mtu mwenye huruma, mvumilivu, na mwenye uwezo wa kutatua migogoro kwa njia ya amani.
6. Msamaha husaidia kupunguza msongo wa mawazo
Msamaha unahusishwa na afya ya kiakili na kimwili. Kushikilia hasira na chuki kunaleta msongo wa mawazo na dhiki, lakini unapojifunza kusamehe, unaondoa mzigo wa kihisia. Familia yenye msamaha husaidia kupunguza dhiki, na hii huongeza furaha na afya ya akili ya kila mwanafamilia.
7. Msamaha hujenga Mshikamano na Ushirikiano
Familia inayosameheana hujenga mazingira ya mshikamano na kusaidiana. Wanafamilia wanakuwa na utayari wa kusaidiana wakati wa shida na furaha kwa sababu wanajua kuwa wapo katika mazingira yenye amani na upendo. Kwa mfano, mzazi anayesamehe kosa la mtoto wake kwa upendo na hekima, hujenga hali ya ushirikiano ambapo mtoto anajifunza kutenda mema na kujitolea kwa familia.
8. Msamaha ni uwezo wa kuvumilia na kuendelea pamoja
Katika familia, msamaha unasaidia wanandugu kuvumilia makosa ya wengine na kuendelea kwa pamoja. Iwapo majeraha au kutoelewana hutokea, msamaha husaidia kusahau yaliyopita na kujenga upya hali ya kuelewana. Hii inasaidia kuunda umoja wa familia ambao unaweza kushinda changamoto za maisha kwa pamoja.
Tumsifu Yesu Kristo!
SALA KWA MAHITAJI MAALUM.
Ee Mungu uliye nguvu na makimbilio yetu, kwa wema uwasikilize watu wako wanaokulilia, kwa maombezi ya Maria Mtakatifu asiye na dhambi mzazi wa Mungu, na ya mtakatifu Yosefu mchumba wake, na ya watakatifu Petro na Paulo mitume wake, na ya watakatifu wote.
Usikilize kwa wema sala tunazokutolea kwaajili ya wakosefu ,kwaajili ya usalama na uhuru wa Kanisa Takatifu, na kwaajili ya (...Hapa taja ombi lako maalum).
Nawe Mikaeli Malaika Mkuu, utulinde katika vita, uwe kinga yetu, tunaposhindana na yule mwovu shetani.
Kwa maombezi yako, Mungu na atulinde kila wakati, tusidanganywe kwa hila au uongo, kama vile ulivyowashinda malaika wabaya hapo zamani; kwa uwezo wa Mungu, umshinde shetani na pepo wabaya, wanaozunguka duniani kupoteza roho za watu.
Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu, Amina.
MT. PADRE PIO KUHUSU JINSI YA KUSHIRIKI MISA TAKATIFU.
Mnamo Julai 25, 1915, Padre Pio alimwandikia barua Anita Rodote kuhusu jinsi ya kuhudhuria Misa Takatifu ipasavyo: Yesu analiita kanisa kuwa nyumba ya sala. Ili kuepusha utovu wa heshima na dosari ninawasihi katika Bwana:
Ingieni Kanisani kwa utulivu na heshima kubwa. Chovya katika maji matakatifu na kufanya ishara ya Msalaba kwa makini na polepole. Mbele za Mungu katika Sakramenti Takatifu jidhihirishe kwa bidii.
Kwa mwendo wa adabu, piga magoti na mpe Yesu heshima katika Tabernakulo Takatifu. Mwambie mahitaji yako yote, na ya wengine pia. Sema naye kama mtoto mdogo mbele ya baba yake.
Kuwa utulivu na uchaji mkubwa wakati wa kusimama, kupiga magoti na kukaa. Tekeleza kila tendo la kiliturujia kwa ibada kubwa.
Kuwa na kiasi katika kutazama kwako. Usigeuze geuze kichwa huku na kule kuangalia nani anaingia na kutoka. Usicheke hovyo.
Usizungumze na mtu yeyote bila sababu ya msingi, isipokuwa tu unapoombwa kutoa usaidizi au maelekezo ya lazima.
Tamka maneno kwa uwazi na usiwe na haraka. Usiondoke bila kumwomba Yesu baraka zake, na msamaha kwa mapungufu yako.
Ondoka Kanisani kwa tafakari na utulivu.
Herini kwa kumbukumbu ya Mtakatifu Padre Pio (23 Sept)
Kendrick Lamar reveals Drake has been hiding an 11 year old daughter in ‘Meet The Grahams’
“He should've been in your life // instead he in Turks paying for s*x and popping percs, I want to tell you that you're loved, you’re brave, you’re kind”
“His father never claimed him neither, history repeats himself”
Nasaha za Mzee wangu siku Moja kabla ya Harusi. Soma mpaka mwisho itakusaidia
Mwanangu Lusajo, unapoenda kuishi na mwenza wako, sio kila kitu cha kumfanyia surprise mke wako.
Surprise ni catalyst ya Mapenzi lakini pia shetani anaweza kutumia njia ya surprise kuua ndoa yako.
👇🏾
‼️ MACBOOK GIVEAWAY ‼️
I’m giving away a brand new MacBook pro in a collaboration with my friend.
Rules to enter:
1: Like & retweet
2: Follow
@elitetradingz + @CrypticBullish
The winner will be announced in 24 hours, good luck!!