@Emmanuel_J_K0 @FabbyKabipe Watuwengi tulitegemea Arsenal atapiga mpira mwingi maana Arsenal kwa miaka ya hivi karibuni amejipata watu wengi tulitegema pengine Manchester united tutapata nafasi chache natena nafasi za kushtukiza lakini tumecheza vizuri mwanzo mwisho.. tuliendelea hivi tutaingia Top 3
Tumpate na adebola Lookman incase Cuhna akiumia , alafu tupate kiungo mmmoja, kuhusu Goalkeeper Ata Onan akibaki atatusaidia.
Mungu asaidie tucheze kwa kiwango hiki kwa mda mrefu sana. Leo tumefungwa ila nimefurahi jinsi ManUnited ilivyo perform. GGM๐ด
@iamsalumally Kama Brighton wamekaza tumchukue morten Hjulamand atatusaidia. Japo Baleba ndo alikua mtu sahihi ukiachana na uchezajiwake ,pressing yake,pia ana experience na EPL kwakua msimu huu hatuna mashindano ya nje.Iyo โฌ100m tumchukue donnarumma na Hjulamand. Baleba tutamsajir msimu ujao
@George_Ambangil Do sasa joji umevuka mipaka MUSIALA ?? Psg wakupe Mendez kaka tamaa zitatuponza hizi.. ila I understand unawish tuwe na kila kitu japo hatuwez ๐ญ
Money laundering........
Viongozi wengi wenye power ambao wako kwenye nafasi za juu kabisa kwenye hii inchi au kwa jina jingine wanaitwa mafisadi wanawatumia wafanya biashara kutakatisha fedha.
Yani fedha halamu kuwa pesa halali..
@fumbokhanJr 500m kaka unachekesha๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Unajua paund 1 sawa na bei gani? Gharama za wachezaji wote walio nunuliwa alafu utajua ni mabilion mangap
@George_Ambangil@WideEdson Man united tunawachezaji wazuri kulilo wao, tuna mashabiki wengi , tunalipa mishahara vizuri, Kuna bonus nyingi, kila msimu tunanunua Wachezaji wenye vipaji vikubwa kwa gharama kubwa
Tuna sajir Top couch. Tatizo ni nn jaman๐ญ๐ญ
@George_Ambangil Hii ni True Unaweza ukafanya usajir mzuri yani 10/10 lakini mfumo ukawa unawatesa wachezaji.Amorini anatakiwa kubadir mfumo atoke kwenye 343 kwenda kwenye 4 3 3 au 4 2 3 1, kama Tukienda kucheza na Arsenal na tukacheza kama tulivyocheza Jana i believe Arsenal will eat us alive