@Diamondplatnumz ameshinda Tuzo ya MTV EMA 2023 “Best African Act” Diamond, Burnaboy & D’Banj ni wasanii pekee ambao wameshinda Tuzo hiyo zaidi ya mara moja, Pia mwaka 2015 alikuwa msanii wa kwanza Africa kushinda tuzo ya “Best African Act” na “Best Worldwide Act” kwa Pamoja
BOOMPLAY TOP 100 TANZANIA - TOP 10 (5th May - 11th May, 2023)
1.Jay Melody - Sawa
2.Zuchu - Utaniua
3.Harmonize - Single again
4.Alikiba - Mahaba
5.Roma Mkatoliki - Nipeni maua yangu
6.Darassa - No Body
7.Jay Melody - Nitasema
8.Tommy Flavour Feat Marioo - Nakuja
9.Billnas Feat Jay Melody - Puuh
10.Zuchu - Nani
Cc @BoomplayTZ
@officialzuchu anashika namba moja kwenye chart zote za Youtube Music kwa wiki ya (April 28 - May 4, 2023) na wimbo wake wa “Utaniua”
Anashika #1 kwenye:
Top songs chart
Top artist chart
Top music video chart
Trending music video
@officialzuchu holds the #1 spot on all Youtube Music Tanzanian Charts (Top songs chart, Top artist chart, Top music video chart and Trending music video chart) for the Week of April 28 - May 4, 2023 with “Utaniua”
@officialzuchu holds the #1 spot on all Youtube Music Tanzanian Charts (Top songs chart, Top Artist chart, Top Music Video chart and Trending Music chart) for the Week of April 28 - May 4, 2023 with “Utaniua”