@fatma_karume Huna jema shangazi kila kitu kwako ni nothing unatakiwa upongeze sasa ila uulize kwann mamlaka zinazohusika wapo lakin mpka waziri kaenda wao wanafanya nini hapo kwenye ofisii zao .
@MsomiKhan18 Hizo zote wengine tulishaomba na zote kama mara nne hivi tukakosa na sasa automatic tumejitoa maana kuna baadhi umri hauruhusu tena.
NB:
Usikate tamaa,pambana mpaka mwisho.
Kila la lheri.
@fatma_karume Shangazi huo ni wivu promax sasa hapo kinachokuuma ni nini Jesca kupewa security au kununuliwa gari alafu gari yenyewe IST ebu lete madini kama msomi usitulete vituko ivyo, hizo ni benefit ndogo sana kutoka kwa baba yake ambaye alikuwa rais.
@Dr_DGwajima @JoelyMeitaya Mama una upiga mwingi achana na wanaopenda kulalamika then tukiwauliza una maoni gani au tupe altenatively way ya icho unachokikataa anakimbia mbio mwendo wa kasongo yeee
@Dr_DGwajima@mkimbu001@EmmausAskofu Mama anaogopa kupigwa spana mpaka anasahau watu DM,
ila ukweli nimefurahi sana kuona umetoa jibu zuri na sahihi na wakati sahihi mpaka askofu amekubali umetumia akili kubwa sana na hiyo ndio ukisikia "utu uzima dawa"
Keep it up mama,Mungu azidi kukubariki.