Yaumul jumaa siku bora katika masiku,Ni siku bora zaidi ya Eid El Fitri na Eid El Adha.
Ni siku bora kwakuwa ndani yake yanapatikana mambo matano
1. Ndiyo siku ambayo Allah (S.W) alimuumba Nabii Adam (A.S).
2.Ndiyo siku ambayo Allah (S.W) alimteremsha Nabii Adam(A.S) duniani๐๐ฟ