Baada ya sisi wanaharakati na wanasiasa kuzimwa na @ccm_tanzania, na sasa tunamuuguza @tundulissutz wetu kwa zaidi ya miezi minne, ni wakati wa watumishi wa Mungu kunena. Enyi Mafalisayo, hakuna aliyeshindana na Mungu na akashinda, kwa hakika mtaanguka.