Mapema mwaka huu, vituo 5 vya runinga vilipigwa faini ya Shilingi Milioni 60 na TCRA kwa kutangaza habari zinazodaiwa kuwa na ''Maudhui ya Kichochezi''
> Je, TCRA iliwezaje kuvipiga faini wakati neno “Uchochezi” halijatajwa kwenye sheria elekezi? | https://t.co/NyNgqOB1UD
#JFLeo