MBINU ZA KUKUZA UUME UKIWA NYUMBANI KWAKO BILA KUTUMIA DAWA YEYOTE ILE.
"Kati Ya Unene na Urefu Wa Uume Ni Kipi Kilicho Muhimu Zaidi Wakati Wa Tendo...?"
Nimekuwa Nikiulizwa Swali hilo mara kwa mara, Ngoja nikusanue jambo kabla hatuja songa mbele..!!
IPO HIVI....
Kulingana na sayansi ya tendo kutoka kwa wataalam (Sexiologists) wanadai kwamba,
Katika tendo unene ni wa muhimu zaidi.
Na Hii ni Kwa Sababu Kinacholeta Raha Wakati wa Tendo ni Msisimko.
Msisimko Unatokana na MSUGUANO (Friction) Unaokuwepo Kati Ya Uke na Uume.
Msuguano Huu Unahusisha Kuta Za Uke (Yaani Pembeni)
Ambapo, Kama Uume Ukiwa Mwembamba Basi Ni wazi Kwamba,
Msuguano Hautakuwa Mzuri.
Hali hii inaweza kupelekea mwanamke na kwanaume kutokufurahia Tendo.
Japokuwa....hii haiondoi umuhimu wa urefu.
Ni muhimu sana uume uwe mrefu.
Kwa sababu urefu wa uume unahusika na hali ya mwanaume kujiamini.
Ndio maana uume ukiwa mfupi unaitwa "Kibamia" ๐
Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa raha na kuridhika wakati wa tendo la ndoa vinategemea mambo mengi zaidi kuliko tu ukubwa wa uume.
Mambo Hayo ni Kama Vile Mawasiliano mazuri, uhusiano wa kihisia, na kuelewa mahitaji na mapendeleo ya mwenzako
Kwa Pamoja Hayo ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha kuridhika kwa pande zote mbili.๐๐ฆ
NB: Kama umenielewa Gonga Like ๐ Kisha Turn on my post Notification.
Usipange Kukosa, Muendelezo Wa somo Hili..!! Ambapo tutakwenda kuona mbinu za kukuza uume ukiwa nyumbani kwako.
Mbinu zizo hazito husisha dawa ya kumeza wala kupaka, Tunafahamu madhara ya madawa hayo yanavyo waletea watu matatizo ya kudumu...๐
๐ง๐จ๐ฃ๐๐ง๐ ๐๐๐๐ ๐จ ๐๐๐๐ข๐๐ข.๐
Aina Za Wanawake Na Siri Za Miili Yao.
Fahamu Namna Miili Yao Inavyotofautiana Na Kuathiri Uhusiano Wa Kimapenzi.
Open Short Thread ๐งต
NENDA SOKONI NUNUA MZIZI WA MORINGA/MLONGE, TANGAWIZI NA KARAFUU.
Chemsha kwa pamoja, hakikisha Inachemka dakika zisizo pungua 5, Hadi maji ya badilike Rangi.
Tumia siku Tatu mfulizo kisha Pumzika siku nne, Hapo utaruhusiwa kukutana na mwenza wako.๐๐ฆ
FAIDA ZA NATURAL CODE...๐ฉบ
1. Nirahisi kupatikana (sokoni).
2. Huimarisha mzunguko wa damu.
3. Haina gharama, Ni nzuri kwa afya yako.
NB: Epuka matumizi ya madawa ya Booster kuongeza nguvu za kiume, Nguvu za kiume zipo ndani yako.
Anza na kuimarika saikolojia yako, Imarisha mzunguko wa damu kwa mazoezi na code hii, Imarisha misuli ya uume, nyonga na misuli ya tezidume. (Pelvic floor muscles).
Wanaume Tukutane Pin post...๐ซก
HELLO FRIDAY: Ukombozi wa Afya Yako Ni Sokoni, Usipo kula Chakula Kuimarisha Afya Yako Kama Dawa, Ipo Siku Utakula Dawa Kama Chakula.
Maziwa ๐ฅโ Hamu ya Tendo la ndoa.
Ndizi ๐ โ Tajiri wa viinilishe Mwili.
Almonds & Karanga ๐ฅ โ Testosterone.
Tende ๐ง โ Husaidia kuupa mwili nguvu.
Vitunguu saumu ๐ง โ Sumu mwilini (Detox)
Maji๐ฆ โ Kwa Ajili ya Figo!
Mayai ๐ฅโ Kwa Ajili ya Ubongo ๐ง !
Carrots๐ฅ โ Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi ๐โ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage ๐ฅฌ โ Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya ๐ฅ โ Kwa Ajili ya Afya ya Moyo ๐ซ!
Mazoezi exercise๐๏ธ โ Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili...!
Mboga za Majani ๐ฅฆ๐ซ โ Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
NB: Kila hatua unayochukua kwa ajili ya afya yako ni uwekezaji katika maisha yako ya baadaye. Join us free link kwenye bio.
Jisajili Nasi Kwa Elimu bora Ya Afya Na Usimamizi Wa Afya Yako Ya Uzazi...๐
https://t.co/aYiYcyaBPY
THANKS TO BE WITH ME THIS MORNING.... ๐ฉบ
MANGE KIMAMBI EXCLUSIVE: Najua wengi mlipata shock Ummy alivyotumbuliwa maana alikuwa bonge la shosti wa Samia.
.
Sasa ni hivi kilichomwondoa Ummy ni kwamba Ummy alirekodiwa akiongelea tabia za Samia na plans za CCm. Ummy alisema huyo maza ni mlevi kama walevi wengine na kwamba wao huko CCM wameshaamua hawafai for 2025 na kwamba hawatompa nomination. Ummy amedai huyo mama analewa sana na akishalewa ndo anakuwa na zile tabia (mnazijua) na ndo sababu CCM hawamtakiโฆ
.
Baada ya kurekodiwa kimama kikatumiwa recording na ndo akamtumbua Ummy.
Yani ni hivi sio sisi tu wananchi hatumtaki, huko CCM pia hawamtaki ndo maana kila siku anabadilisha uongozi CCM.
.
Habari ingine niliyoletewa ni kwamba jeshi la Tanzania linataka kuchukua nchi 2025 then wapitishe katiba mpya then uchaguzi ufanyike na Samia habari hizi na anahaha kwahiyo anampango wa kumuweka mwanae Abdul au family member kama mkuu wa jeshi kama ilivyo Ugandaโฆ Hizi ni ndani zaidi. Na sababu ya jeshi kufikia hatua hii ni Sababu ya Samia kuwarudisha wauwaji na watekaji kwenye uongozi kama Bashite na mwenzie Sabaya na hiyo plan yake ya kubadili katiba ili aendelee kuongoza nchiโฆ..
Tamaa ya kuishikilia nchi itam costi Samia.
Habari!! Nakuja tena kwenu.
Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii Nay wa Mitego.
@naythetrueboy
Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa na ya ujasiri anayoifanya, ya kupaza sauti zetu, kutetea haki zetu, kuongelea changamoto zetu kupitia sanaa na muziki wake!!
Nay anayafanya haya katika
kipindi ambacho wasanii wengi wako kimya kuyasema matatizo yanayoikumba jamii yetu.
Basi tusimvunje moyo, tumuonyeshe kuwa tunatambua mchango wake huu mkubwa, na hii itampa nguvu zaidi aendelee kutusemea wananchi.
Tunashukuru kwa kustream muziki wake kwenye digital platforms, tunashukuru kwa kwenda kwenye show zake, tunatambua hali zenu kiuchumi zilivyo, Lakini kwa kidogo utakachojaaliwa kitume
kwa kijana huyu na Mungu atakubariki sana.
Utaratibu wa kutuma fedha nimekuwekea hapo juu kwenye poster, nambari za simu, majina na akaunti ya bank
(TCB - Tanzania Commercial Bank)
Hakikisha jina linasoma Emanuel Elibariki. na ndio jina halisi la kijana wetu Nay wa Mitego @naythetrueboy na atapokea moja kwa moja ulichomtumia.
Twendeni tukaionyeshe nguvu ya uma ilivyo kubwa.
Na kwa kufanya hivi tutafikisha ujumbe kuwa tumechoka na hatupendi wala hatubariki mabaya na machafu yanayoendelea kwenye ardhi yetu.
Share uwezavyo ujumbe huu ufike mbali!!
Lets go brothers & sisters โฅ๏ธ๐
๐๐๐ข ๐ง๐จ๐๐๐๐จ๐ก๐ญ๐ ๐๐๐๐ข๐๐ข ๐๐๐ฃ๐. ๐
Namna Ya Kufinyia Ndani Kwa Style Nzuri Yakipekee Na Yenye Kuhamasisha Raha Zaidi Wakati Wa Tendo La Ndoa......๐
Washtue Wana Wafike Hapa.๐ถ๐ถ
Open Beautiful Thread ๐งต
๐จ TEUZI ๐จ
Rais wa awamu ya Saba MH Tundu Antipas Mgwai Lissu amemteua MH @PMadeleka Peter Madeleka kuwa mwanasheria mkuu wa serikali aidha katika uteuzi huo Mh rais alimteua pia Mh @Mwabuk2Boniface kuwa Jaji mkuu katika mahakama kuu nchini.
Huu ni utabiri wangu usinijaji..