Kuna mshkaji wangu kaajiliwa serikalini alichukua mkopo Bank wa 16M kila mwezi anakatwa 530k kwa miaka 7, ukipiga hesabu analipa 40M+. Hivi nikiamua nitunze hiyo 530k kwa miaka 7 si nakua na 40m+🤔
Kwenye kusaka nyau kuna muda una cheza kulingana na tune.
Hakuna namna kwamba kila unaetaka kumla unaenda na misingi na misimamo.
Makubaliano ni kwamba.
Misingi na misimamo tunaweka kwa mama ya kuaminia, tunaweka kwa wake zetu.
Haya mambo ya mtu wa kula tu huwezi kusema unaweka misingi na haujamvua bado.
Upatikanaji wa Potassium ni mgumu na kuna muda tamaa inakuingiza njia ambayo sio sahihi.
With due respect wasaka Potassium mnielewe mimi sio msenge, ila utafutaji wa K tu.
MWANAUME jifunze kufanya uwekezaji kwenye mambo matatu tu..
1. Assets
2. Muonekano
3. Gari/Simu kali
Hii itakuongezea thamani automatically kwenye jamii 😁🖐
@StrangeMigrant@YasiniMustafa@IAmHaule Wakatae babuu utabeba mizigo yote utaweza? Sometimes funga vioo me nishasema acha nionekane ninaroho mbaya ukiendekeza watu hutoboi
Mnaohamia Dodoma au Wenye plan za Kuhamia Dodoma .,Ukishasikia Mtaa unaanza na CHA .,Usitafute Chumba au Nyumba ya Kupanga huko Msije kusema Hatujawasanua ...😂😅🙌🏿