You understand liquidity.
You know what FVGs and order blocks are.
You can analyze charts better than most traders you know.
But your account is still not growing.
Here’s why 👇
@marxwelbe@KenethJackson16@ALugandu Hakuna nguvu yoyote ile kenye sheria bongo ila we mnyonge na ukakubal unyonge wako basi imekula kwako kikubwa ni kuishi
Ukiwa unascalp Gold pips Kwa range ya Minimum 100 pips target zikawa ni pips 100,150-200 TP unaisubiri ndani ya Dakika 5-10 mpaka 30 minutes.
Yaani candle mbili au moja ya 5Minutes umeshaachana na Soko, umefunga PC umeenda kwenye heka heka zako!
Done 320 pips collected.
Ikiwa watu 10 wataamua kuanza kujifunza Forex LEO...
Baada ya Mwaka-Miaka mitatu au Hata miezi kadhaa matokeo yatakuwa ni Haya
1. Watu wa 3 wataachana kabisa na Forex watakimbia (wamekata tamaa)
2. Watu wawili watakuwa wanapotea na kuibuka (yaani mwezi huu ni trader, mwezi ujao kaachana na Forex yuko Mpwimbwe ni Fundi Garage au anafanya issue zingine na Hafungui charts) baada ya miezi anarudi tena, then anapotea... (HAWA PIA HUWA NI LIQUIDITY SOKONI, ni ngumu sana kutoboa sokoni labda watoboe Pua)
3. Watu wawili watakuwa wamepata Trauma Kutokana na kupoteza pesa, hawataki kusikia watu wa Forex wala kusikia kuhusu Forex. Wataiita Forex "Illusion", "Scam", "Ujinga", "wizi". Atabadilika na kuwa Influencer wa kuwashauri watu wasijihushishe na wakae mbali nayo. Yaani ukae mbali na Biashara ambayo Mabenki makubwa duniani, Taasisi za Kifedha na Hata serikali INAJIHUSISHA NAYO kwa miaka nenda miaka Rudi. Kiufupi AMEKUWA MWEHU!
4. Mmoja atakuwa yupo bado anaamini kuwa ipo siku atatoboa ijapokuwa bado anapoteza pesa. (Undisputed) AMEBAKI NA IMANI NA MATUMAINI YA KESHO, amechagua kuizungumza leo kama leo akiamini kuwa KESHO YAKE HAIWEZI KUWA KAMA ILIVYOKUWA JANA. Huyu safari yake itaishia kwenye kupata anacho kitaka
5. Mtu m1 atakuwa Tapeli na Influencer, anawauzia watu ndoto kwa kuonyesha good lifestyle, Atauza Robots, atasema anafanya Account management mtagawana Profit ukijaa anachukua pesa zako then anakwambia ameunguza na hakuna kitu utamfanya, yuko zake Dubai😂.
6. Mtu m1 atakuwa Profitable, atapambana na soko limpe hela ya kuendeshea maisha yake. Ata maintain Consistency na kuifanya Forex kama sehemu ya maisha yake.
Njia pekee ya kukaa namba "6" ni kuwa na CONSISTENCY kwenye unacho kifanya. Kutochoka kujifunza na kutokata tamaa. FOREX IS HARD NA HAIKO DESIGNATED KWAAJILI YA WATU DHAIFU. NDIO MAANA WENGI WANA QUIT HAWAFIKI MWISHO...
Ikumbukwe, IT'S VERY DIFFICULT KUM-DEFEAT MTU AMBAE HAKATI TAMAA NA AMEYAKABIDHI MAISHA YAKE KWA MUNGU!
Nimemaliza.
the 6am candle is the most ignored edge in futures trading
London open
the session that sets the trap
here's what happens at 6am EST:
institutions come online
they see where Asia left price
they decide: "are we continuing or reversing?"
that decision prints on the 6am H4 candle
if 6am sweeps the Asia high then starts going bearish → they're going down
if 6am sweeps the Asia low then start going bullish → they're going up
if 6am does nothing → wait for more information
I used to trade blind like everyone else
got chopped up constantly
then I started watching what happened at 6am
realized:
the move was already decided 3.5 hours before NY open
I was showing up late to a game that already started
now my process:
6am: mark the candle, note the sweep, identify the bias
9:30: wait for a pullback into the direction 6am told me
if 6AM does nothing, wait for 10AM.
I'm not predicting
I'm just reading what London already decided
the 6am candle is the answer
most traders don't even know the test already happened