@chapo255 Alianza vuzuri baadaye akatuacha sisi washabiki wake akahamia kwa washauri wake akasema
"Some other love the old me some the new me"
Arud kule aone kama tutamtupa
Bro to bro:
We're not really broke. We just didn't start with rich family,easy money or big connections.
Everything we have, we're builing slowly from the ground. It might take longer for us, but that's okey.
Our time will come.
SAKATA LA MJANE MIKOCHENI KUTOLEWA KWENYE NYUMBA YA FAMILIA KWA MABAVU NA MABAUNSA.
INASIKITISHA.
Nawashukuru DC wa Kinondoni na RC wa DSM Mhe Chalamila kuchukua hatua zinazoweza kuutatua. Mimi nikaona nitoe elimu ya ujumla. Mwaka 2011 nilikuwa Waziri wa ardhi. Tulikuwa makini sana. Kama caveat iliwekwa inamaanisha Msajili aliona "there is a case to answer" kwa hiyo akakubali zuio ili huyo mmiliki mpya asijewauzia watu wengine hiyo nyumba na kuleta mgongano zaidi. Kwa caveat akalinda uwezekano wa mtu yeyote kufanyia nyumba hiyo muamala wowote bila amri ya mahakama au mgogoro kuisha. Sasa kama mahakama zimetengua hiyo caveat sijui lakini nimeguswa sana na hiyo inhuman eviction ya mjane na watoto. It was not necessary in my view. Nimeshuhudia wanawake waliofungwa jela ili waume wauze nyumba zao.
Nikaona nitoe elimu kwa ujumla labda kusaidia utatuzi wa mgogoro lakini pia wengine wanaoweza kukutwa na matatizo.
Ni hivi:
Uwepo wa Idhini halali ya Ndoa katika Uuzaji wa Nyumba na Ardhi Nchini Tanzania ni muhimu na lazima. (VERIFIABLE SPOUSAL CONSENT).
Sheria za Ardhi na Ndoa nchini Tanzania zinataka mali ya ndoa, hasa makazi ya familia, isitolewe kwa kuuza, kukodishwa au kuwekwa rehani bila idhini ya maandishi ya mwenza wa ndoa. Iwapo idhini hiyo haitapatikana, muamala unaweza kutangazwa batili na mali kurejeshwa.
Changamoto:
Baadhi ya wanandoa au taasisi za fedha huendeleza mikataba bila kuthibitisha idhini ya mwenza au uhalali wake.
Wanandoa wasio na elimu ya kisheria hukosa kuelewa haki zao, na hivyo kukosa kutetea maslahi yao na wenza wadanganyifu hufanya mambo kwa kificho au kugushi sahihi.
Aidha
Wanunuzi wasio waangalifu hujikuta wakipoteza fedha baada ya mahakama kufuta mikataba.
Mapendekezo
1. Uelewa wa Umma: Serikali na mashirika ya kiraia waendeshe kampeni za elimu kuhusu haki za mali ya ndoa.
2. Uthibitishaji Imara: Mamlaka za ardhi zifanye ukaguzi wa kina kabla ya kuruhusu mikataba.
3. Wanunuzi wahimizwe kuthibitisha hadharani idhini ya mwenza kabla ya kununua.
4. Benki na watoa mikopo wawajibishwe kisheria iwapo watashindwa kuthibitisha idhini ya ndoa ilikuwepo kihalali sio kwa ujanja ujanja.
Sera nzuri ya
Ulinzi wa makazi ya familia ni msingi wa usawa wa kijinsia na ustawi wa kijamii. Kuimarisha utekelezaji wa sheria kutazuia migogoro ya kifamilia na kulinda haki za wamiliki wote wa ndoa.
@JoseWaImani Kwa makusudi ya ule wakati.
Leo upo dar na kiswahili kinasikika zaidi kuna haja ya kunena kwa kugha tufauti ili usikiwe!?
Maana hapo uliponukuu ukiendelea mbele inaonesha kila kabila walisikia na kuelewa kilichosemwa.