@ivymuthe Shida yako ni kuwa na simu ya mkopo unapitwa na stories huku nje.Well month back she was fighting for her life hadi alikuwa ICU because of a seminal illness yenye ilifanya akafanyiwa surgery pia.
@AokoOtieno_ It's not about who supporting who.Its about how you carry yourself.Imagine kudinywa kwa choo,hata huyo mdinyi si alikuona very cheap and stupid na mwenye huna akili??Tuache kurembesha ujinga saa zingine