Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Hassan Ali Hassan Mwinyi, mtoto wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi na kaka wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi. Nawapa pole wanafamilia kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu amrehemu Hassan na amjaalie Pepo. Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun.
@PabloYende@HKigwangalla WAKO SAWA TU WALA SIO WAKATI MGUMI BALI VIGEZO NA MASHART NA ITFACK ZIZINGATIWE TU.NDIO MUHIMU USNITCH NDIO AUTAKIWI .KUWA KIDUDUMTU
👁️🇹🇿✔️🙏
🔴TEUZI
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania-TPDC
Tujiandae KUHESABIWA na tutoe taarifa sahihi
Kufanya hivyo nikutimiza wajibu wako ktk Taifa lako 🇹🇿 Pamoja Tunaweza popote ulipo Uzalendo kwanza Kazi iendeleee 🫂one love
@mpendahakiiii@SuluhuSamia Wahusika wawajibishwe
Aiwezekani sisi tunataabika na mfumuko WA Bei wakati watu wanageuza Tanzania 🇹🇿 shamba la bibi wachukuliwe hatuwa 🙏
@kigogo2014 Tunaomba sana wahusika wamsaidie RAISI wetu kupunguza makali ya maisha vitu VINAPANDA Bei Kila siku Tunaumia sana
Wakati Kuna wataam ,Kuna wasaidizi wa Rais ,Kuna wabunge,Kuna wizara husika,jmn Tunaumia sana WA🇹🇿maskini mtusaidie kuthibiti kupandwa Kwa vitu kunako endelea 🇹🇿😭