Kama hukuelewa ile Monetary Policy ya BOT, msikilize Ray Dalio hapa;
Ameelezea kwa lugha ya darasa la tatu idea yote ‘Debt Cycles’ jinsi zinavyoathiri uchumi na jinsi Benki kuu katika kila nchi inavyominya koki ili ku-control mambo.
Credits: Ray Dalio
Wachambuzi wa bongo 👉🏾 "Messi ile ni natural talent, Messi wenzie wanaweza wakawa mazoezini, yeye mara afunge kamba za viatu, mara awe anachezea simu, si mtu wa mazoezi sana na hapendi mazoezi, ila mlete uwanjani"
Huyo Messi mwenyewe sasa 👇🏾🤓
WaCongo, Zimbabwe, Zambia na Malawi, wameanza kusonga China wenyewe mzigo wao now unapita tuu hapa.
Nafikiri tumechelewa kuikuza Dar ilifaa iwe kama duka la EAC mzigo uwe kitonga kuliko mtu kwenda China.
Soon kariakoo itabaki kwa watu wa mikaoni, au watu wa Dar kufanya shopping
We are deeply saddened by the passing of the legendary Kevin Keegan and mourn his loss. His indomitable spirit and remarkable contribution will be forever etched in our history and his legacy will live on.
Rest in peace, Kevin. 1951-2026
Kilimo kinaweza kuajiri maelfu ya vijana, lakini bila ardhi, mitaji na pembejeo nafuu, ndoto hiyo itaendelea kubaki ndoto.
Changamoto kubwa za vijana ni:
• Upatikanaji wa ardhi ya kilimo.
• Ukosefu wa mitaji.
• Gharama kubwa za pembejeo na zana za kilimo.
Mapendekezo yangu:
1. Serikali kupitia Wizara ya Kilimo itenge ardhi maalum kwa vijana. Kwa mfano, mashamba ya skimu ya Kapunga yaweze kutolewa kwa vijana kwa utaratibu maalum wenye makubaliano ya uzalishaji.
2. Serikali ishirikiane na Benki ya Kilimo kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa vijana.
3. Kodi kwenye pembejeo na zana za kilimo ipunguzwe au iondolewe kabisa ili kupunguza gharama za uzalishaji.
Vijana wakipewa fursa, kilimo kitakuwa chanzo kikubwa cha ajira, uzalishaji na ukuaji wa uchumi wa Tanzania.
#Kilimo #Vijana #Tanzania
@TonnyUnfiltered Kama umerudi na hela, yanazungumzika kwa sababu ulikuwa kazini... 😂😂
Sio urudi suti sutara, hawakuelewi hao.
Mwambie kazi uliyofanya leo nimepata hela sana chukua nawe hii mke wangu kanunue ukipendacho..