The current situation in the Middle East is extremely dangerous. Today, in my phone call with the President of Iran, @DrPezeshkian, I urged for de-escalation and restraint, the protection of civilians and civilian infrastructure, and the need for all parties to fully respect international law. The loss of innocent lives, including in the Minab school, is deeply regrettable.
To de-escalate the situation, I urged Iran to stop the unacceptable attacks on countries in the region and to engage positively on the diplomatic track, notably with the UN to ensure the freedom of navigation in the Strait of Hormuz.
There must be space for diplomacy. The EU stands ready to contribute to all diplomatic efforts to reduce tensions and for a lasting solution to end the hostilities, while addressing the broader security concerns posed by Iran.
@EduTalkTz Wew endelea na kiburi kwa sababu ya neema uliyopewa ya pumzi. Lakini kumbukq kuwa siku Mungu atakayokutia mikononi ndio utajua nani aliyeumba mwenzake. Siku atakayotumwa MalakulMauti akiambiwa yule muda wake wa kuishi duniani imeisha. Siku hiyo utapata jibu ya swali lako
Onesmo. Allah anasema ufufuo NI Jambo jepesi. Amesema kwenye Quran: Amemuumba binadamu kwa tone la Manii; hafla binadamu Huyo amekuwa mshindani na kumjadili Mungu kuhusu kufufuliwa kwake.
Do you know where my mom and dad are?”
An 11-year-old girl who lost her sight in an Israeli attack in Gaza was left in the hospital asking for her parents’ whereabouts, unaware they had been killed ⤵️
MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.
Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana.
Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi, akifanya kazi kwa miaka 38 atalipwa shilingi 242,136,000 (milioni 242).
MBUNGE wa Tanzania kwa mwaka mmoja analipwa shilingi 240,300,000 (milioni 240 bila posho za kamati).
Yani mwalimu wa Tanzania mwenye degree analazimika kufanya kazi kwa miaka 38 ili aweze kupata malipo anayopewa mbunge wake (ANAYETAKIWA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU) kwa mwaka mmoja tu. Ndio uzalendo huu?????? @SuluhuSamia
YANI IPO HIVI,
Mbunge anayelala tu bungeni @bunge_tz analipwa;
Posho za vikao kwa mwaka ni sh. 42,300,000 (milioni 42.3)
Mshahara na marupurupu kila mwezi 16,500,000 × miezi 12 = 198,000,000 (milioni 198).
Jumla kwa mwaka mmoja ni sh. 240,300,000 (milioni 240, hii haihusishi posho za kamati za kudumu).
Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUCHANGANUE MALIPO YA MBUNGE VIZURI.
Sitting Allowance - 220,000
Per Diem - 250,000
Jumla kila siku mbunge analipwa 470,000/= (haijalishi ameongea au lah).
Mshahara na marupurupu kwa mwezi - 16,500,000/=
Mshahara wa mbunge kwa mwaka mmoja ni shilingi 198,000,000 (milioni 198).
Mshahara wa mbunge kwa miaka mitano ni shilingi 990,000,000 (milioni 990).
Bado kila baada ya miaka mitano huyu mbunge analipwa kiinua mgongo milioni Mia mbili (200,000,000).
Vikao vya Bunge
Kikao cha Januari 31 - Feb 10 = siku 11
Kikao cha bajeti April 4 - June 30 = siku za vikao 59
Mkutano wa tisa wa bunge mwaka 2022 Nov 1-11 = siku 10
Mkutano wa nane kuanzia Sept 13-23 = siku 10
Jumla ya siku za vikao vya bunge ni siku 90.
Siku 90 za vikao × 470,000 = 42,300,000
42,300,000 za vikao × miaka 5 = 211,500,000
JUMLA KWA MIAKA MITANO
1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUANGALIE MSHAHARA WA MWALIMU KWA MIAKA MITANO
Mwl. mwenye TGTS D1 mshahara wake basic ni shilingi 771,000 kwa mwezi, ukitoa makato, take home ya mwalimu huyu no shilingi 531,000.
Mshahara wa huyu mwalimu kwa mwaka 531,000 × miezi 12 = 6,372,000 mara miaka mitano = 31,860,000 (huu ni mshahara wa Mia I miwili wa mbunge).
Kwa miaka 38 mwalimu analipwa 6,372,000 * 38 = 242,136,000 (sawa na mshahara wa mwaka mmoja wa mbunge).
Huyu mwalimu akidai nyongeza ya mshahara anaambiwa "KUWA MZALENDO." Kama sio wizi huu ni nini????
Wakati mbunge wa Tanzania anaogelea kwenye bwawa la utajiri wa kodi za walala hoi, mtoto wa mtanzania maskini anashindwa kujengewa hata choo cha tundu kwenye shule yake; hata dawati la shilingi elfu 50 tu limeshindikana; hata kitabu cha elfu kumi tu imeshindikana.
IFIKE MAHALI TUACHE HUU UFALA WA KUENDELEA KUFUMBIA MACHO UDHALIMU WAKATI TUNAOUMIA NI SISI NA WATOTO WETU. MABADILIKO YA KWELI YATAKUJA PALE WATU WA CHINI TUTAKAPOSIMAMA KUPINGA UDHALIMU.
Ruto came under sharp criticism after hawk-eyed citizens across social media platforms attacked him for commissioning the road which was already launched five years ago.
https://t.co/cCrXy3jRDU