KIMENUKAAAAAAAAA, naomba niingie kulala, ila nikiamka na ku-drop watoto shule na drop ๐ฃ moja kali.
Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania.
ISSUE NI DIPU!!!!!
Nigerian Betting Punter, 39 billion breaks the internet after winning huge odds alongside tens of thousands of his followers.
He won 226,147 odds with some voided games.
Uokoaji wa rubani wa pili unavutia zaidi unapogundua kuwa alitembea maili 107 kwa siku moja ili kufika mahali alipo kutoka kwa mwonekano wa ajali na rubani mwingine.
Sehemu mbili kwenye picha ya Ramani za Google zinaonyesha eneo la ajali ya ndege ya Marekani
F-15E Strike Eagle iliyoanguka katikati mwa Iran duara jeusi la chini na mahali ambapo mfanyakazi wa pili afisa wa mifumo ya silaha aliokolewa
Na vikosi maalum vya Marekani pini nyekundu ya juu katika 32ยฐ13'16.9"N 51ยฐ54'04.8"E, karibu na Shahrekord.
Umbali uliopimwa kati yao ni maili 107.
Pilot wa pili inaonekana yeye alienda kuangumbali zaidi parachute zili mpeleka mbali na alipo kutwa Pilot wa kwanza
Jamaa ameonesha ukomavu mkubwa wa kuhimili changamoto kwenye uwanja wa vita hogera kwa marekani
Pentagon Kupitia CIA wanafanya kazi zuri sana๐๐ฝ๐๐ฝ
@Kicheche_jr kuna chimbo moja lipo namtumbo ndani ndani mwaka jana nilikula mweleka, ila sijakata tamaa,, unamkuta msukuma mmoja anakuuzia ufuta tani 15. dah hawa jamaa wanalima bana.
@assengajrr@MtanzaniaKaka kaka hii ishu ni kweli, kuna mzee mmoja alikua anakopa kopa sasa mara ya mwisho alikopa milion 30, amelipa yote, sasa wamempigia simu wamemwambia achukue milion 100, akabaki kuduwaa tu , nyumba aliyonayo hata milion 30 haifiki biashara yenyewe yake haifiki hata 20M, ameogopa.