Kuna mshikaji wangu ananambia kipindi anakua bi mkubwa alizinguana na mshua alirudi kwao wakabaki na mshua sasa usiku wake mshua akachoma chapati unga kilo moja akatoa chapati 6 tu anakwambia walilala matumbo juu juu kama chatu kameza swala, kesho asubuhi Mshua akamfata Mama๐๐