Ukiwa Unaenda Makete Ukifika Stendi ya zamani Ikonda Kuna Bodaboda Pale wapo Special kwaajili ya kupeleka watu Kwa Waganga wanaita kabisa Anayeenda kwa Babu au Bibi Kupata Utajiri kituo ndio hiki Msije Mkapitiliza Sura ngeni nyingi zinashuka sana pale.
@emabilly2001 Kaka acheni kutafuta huruma pale Dunia inapotoa Majibu ya Tabia zetu. Kila mtu hutoa hesabu ya Matendo yake. MUNGU ni wa Kila Mtu na ndiyo Maana sio Athumani
@HildaNewton21@ExMayorUbungo Kuungana kwenye nini,ninyi una Ushirika wa Siri mlionao na hao mnaowaponda kuwa ni wabaya ni kuumiza watu.Watu wa kwenda nae wametaja ila unataka waende wengi ili zitokee fujo waumizwe watu au unajiita mtetezi wa watu labda hao watu ni Wapumbavu na hawati kufikiri