Baadhi yetu tuliamua kuwa daraja la mafanikio kwa wengine tukiamini baada ya wao kuvuka na sisi tutafuata ilhali wao walipovuka, walilivunja kwa kuhisi hakuna uhitaji...📝
#MaishaNaFikra
Katika kufanikiwa kuanguka/kuangushwa ni lazima. Ikitokea hivyo, hakikisha hupotezi matumaini ya kuishi, pia hupotezi nguvu yako kuu ya mafanikio...📝
#MaishaNaFikra
Mara nyingine tunabena lawama ambazo kwetu huwa ni njia tu ya kujipambanua kiakili. Ikitokea hivyo, usijilaumu, simama hima upambane...📝
#MaishaNaFikra