@emmanuelmwanki1@mangekimambi umetumwa na lema 😆😆 lema kauza chama Abdul anampa pesa mpaka kesho lema amajipanga na mbinu mpya ya kukibimoa chadema na kama Kuna mwnaharakati wa chadema lema anajua alipo lazima atamuuzaq
@mangekimambi Baada yaa mauaji Samia alihisi kama Mimi mambo yataisha maisha yataendelea kumbe lah mambo hayawezi kwenda DUNIA yote inatuangalia nahisi anavurugwa na anamshauli ni dully ndio maana anaharibu zaidi NCHI BADO NI YA MOTO WANA NCHI WALA HAWAWASIKILIZI CHADEMA WANAMAUMIVU YAO