@TriciaAbou Inabidi uanze upya maana kwa dk 30 zile sehemu nyingine zitakua zimekauka, kwa ushahidi wa ile hadithi ambayo mtume swallallaahu alayhi wasallaam alimuona swahaba akiwa na sehemu nyeupe katika kisigino ambayo haikupata maji wakati wa kutawadha. Akaamrishwa arudie udhu wote.
@Xauusd_fan You are the one among the people who have inspired me alot about this business, I remember one day I called you asking about trading matters and you responded to me in the best way as father to his beloved son bearing in mind that we don't know one another physically. Be blessed