"Hapa ndipo patakapokuwa Makao Makuu ya @TumeYaUchaguzi, jengo hili linajengwa kwa kasi kubwa, mwezi wa 9 mwishoni litakuwa limekamilika kabisa, jengo limekamilika kwa sehemu kubwa na wiki ijayo tunategemea kukabidhiwa rasmi ofisi"- Dk Wilson Mahera, Mkurugenzi @TumeYaUchaguzi
Goli limefunguliwa rasmi, ni wakati wa kutia nia ya kuwa muwakilishi wa #JamhuriYaWapambanaji katika nafasi mbalimbali.
Usicheze mbali na Clouds FM, @cloudstv na #CloudsDigital kuwajua watia nia wako #Naiaminia255#TiaNia
Goli limefunguliwa rasmi, ni wakati wa kutia nia ya kuwa muwakilishi wa #JamhuriYaWapambanaji katika nafasi mbalimbali.
Usicheze mbali na Clouds FM, @CloudsMediaLive na #CloudsDigital kuwajua watia nia wako⦠https://t.co/5COmTnZLew
...Habari zinazo Sambaa kwa Kasi sana mjini Kwa sasa Ni Habari ya #MUME KUPIGWA NA MKEWE.
Tuzipuuze Hazina ukweli wowote Amenipiga Huku Nikiwa Nimelewa chakari Sasa Anajipa ujiko.
Niza kichochezi Na zina lengo la kunichafua Ameniotea nimelewa bhana nimke wangu nandio haki sawa.
@MwanaFA Yaaani Mikia FC wanashangilia hata mechi ya Mazoezi, Daaaah! Ila ufukala huu utawauwa Misukule FC, Kama unaakili timamu huwezi shangilia Mechi ya Mazoezi bhana #youngafricanssc
Yaaani Mikia FC wanashangilia hata mechi ya Mazoezi, Daaaah! Ila ufukala huu utawauwa Misukule FC, Kama unaakili timamu huwezi shangilia Mechi ya Mazoezi bhana #youngafricanssc Sisi tuliwafunga kwenye ligi wao mechi ya mazoezi ππππππ
Itakuwa utovu wa nidhamu kama itatokea unakuja makao makuu ya nchi kufanya sanaa bila kumshirikisha mwenye dhamana ya sanaa yenyewe! DODOMA Mh Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Mh Harrison Mwakyembe ni⦠https://t.co/gwMYtvDy2C
''Katika kipindi nilichofanya kazi na @SuluhuSamia nimejifunza mambo mengi sana na kupitia yeye nawahikikishia nitakuwa mtetezi mzuri wa wanawake. Nimekuwa nikimtuma popote hakatai kama na nyie kina Mama mkitumwa hamkatai'' - @MagufuliJP#MkutanoMkuuCCM
πBREAKING NEWS:
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. @MagufuliJP amemchagua Mama @SuluhuSamia kuwa mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
Kikosi kimefanya mazoezi ya jioni leo na kumalizia maandalizi ya mechi yetu ya Nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports.
#DaimaMbeleNyumaMwikoπ‘π’
#YaliyojiriDodoma: MAGUFULI MGOMBEA PEKEE, APITISHWA KUGOMBEA URAIS
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt John MAGUFULI kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa ndiye⦠https://t.co/gmxLivNLe4
AHUKUMIWA JELA MIAKA MIWILI AU FAINI YA TSH. 500,000 KWA KUMILIKI KOBE BILA KIBALI
> Daniel Chizua wa Masaki, Dar amekiri kukutwa na Kobe wawili wenye thamani ya Tsh. 320,000
> Pia, ametakiwa kulipa Tsh. 650,000 baada ya kuongea na DPP
Soma https://t.co/56dckGQtBf
#JFLeo