@assengajrr@babaiftah HTML na CSS sio programing language ni markup language sasa inabidi urudi chuo ukasome vizuri basics afu ndo urudi youtube usidharau taaluma
@MsigwaPeter kumbe unaelewa kwamba masikini ndo wanategemea sana huduma za jamii sasa miundo mbinu mliokuwa mnashawishi ichomwe mlikua mnataka kufanikisha nini
@zittokabwe@SuluhuSamia kwa mzani huo huo wale wanaochochea machafuko pia wawekwe hatiani ikiwemo wewe zito na wana siasa wenye njaa ya kuturudisha utumwani kwa kutumia Gen z
@HildaNewton21 Tumieni akili sio hisia kifo ni haki ya kila mtu kuleta propaganda kwenye kila kitu
so wamuue dereva then what nyie ni kizazi kibovu na mtauzwa vibaya sana
@mangekimambi laana ya kushawishi watoto wa wenzio kufanya fujo ukiwa unajua watauwawa itakutafuna mpaka unakufa damu ya walouwawa 29 oct ipo mikononi mwako