Bro, usipokuwa na jambo la thamani la kulipa kipaumbele, utajikuta ukizingatia vitu vya kipumbavu, vinavyopunguza hekima yako na kuongeza hasira, gubu, na huzuni
Ukikosa priorities utaanza hata kuchukia watu unaotakiwa kujifunza kutoka kwao
Unataka kujua ulikuwepo kabla hata hujazaliwa mkuu na kila unachofanya kuna watu walishakuona na wanajua utafanya sio,
Au usajiulzia why kijana wa miaka 23 anakuwa mzee kuliko mtu wa miaka 40 kuna nini walituficha
Chukua 666 toa idada ya miaka yako, then jumlish na 1360👇
Miaka mitano kutoka leo 2030+, mabinti WENGI sana watakuwa "adult content creators"🔞
Na litakuwa jambo la kawaida sana kwenye jamii.
Bookmark hii tweet
Unakuta Mzee anajenga.
Home milo mitatu kama kawa.
Tunaenda Skuli bila stress
Vikali tunavaa, mke wake anawaka kama kawa
Na yeye anadunda kama kawa. Kama mtu wa Monde anapiga GLASI kama kawa
Wazee wetu walikuwa MATAPELI.
Mbona kwasasa kufanya kama wazee kazi sana kutoboa?
Canada wamejenga bomba jipya la mafuta kwa gharama ya dola bilioni 25, wanaharakati wa mazingira Kimya.
Uganda na Tanzania zinajenga bomba la bilioni 5, kelele nyingi.
Maendeleo ya Afrika yanafanyiwa harakati kwelikweli. Tunapaswa kubaki palepale.