Unaajiriwa Ili ule Tu.
Kwa maana ungebaki hivi huenda ungekuwa ushakufa kwa njaa.
Ndio maana huwezi kununua kiwanja bila mkopo
Huwezi kununua gari bila mkopo
Huwezi kujenga bila mkopo
Kataa maisha ya KISUKULE
Umenunua kiwanja 10M
Umejenga vyumba 10 kwa 70M
Jumla 80M
Chumba 40,000
Wapangaji wanakuchangia 400,000 Kila mwezi
Sawa na 4.8M kwa mwaka
Itachukua miaka 17 kurudisha million 80
Itachukua miaka 34 kupata profit (2x)
Au wewe una maoni gani?
Ukienda Malinyi ukachukua mchele kwa 1500/= kwa kilo. Ukasafirisha Dar kwa bei ya 200 kwa kilo. Utakuwa umenunua kwa 1700/= kwa kilo. Ukifikisha Dar ukauza kwa 2100/= ina maana kwa kila kila kilo ni 400 faida. Kwa gunia la 100kg ni 40,000/=. Gunia 100 una 4,000,000/=.
@EdwinMjeru Wametoa UFAFANUZI kuwa hawauzi akiba ya lazima, bali wanauza ziada na lengo siyo miundombinu bali ni uwekezaji.
Kama ingekuwa kuuza pia, siyo uamuzi wenye akili kwasababu shida ya nchi siyo ukosefu wa pesa.
@mhdhamad Samahani na Pole sana kwa kuuza imani naomba kujia je walijua hiyo kazi inafanyikaje na wao wanaiweza isije kua ulifanya kwa wema ila kazi kwao ikawa sio kitu wanaweza kuifanya
Mimi nadhani mwanaume kugombania mtoto na mtu uliyezaa nae ni ushoga tu. Mimi nikizaa na mtu akawa ananizuia kumuona mtoto ntamuachia akae nae tu, Nina millions of sperms mwilini nitazaa wengine
#TajiriLaKihaya
Manzi Ina Tattoo… mkononi, Kifuani na Hadi kwenye PAJA…
Na zote kachorwa na Wanaume,daaah💔
Bila shaka Pombe na Shisha anapiga huyu…
MACHA KIJANA Msomi mwenye Bright Future… mtangazaji makini kama wewe unataka KUOA BED TO BED MIDFIELDER AKA NGONO KANTE…
Shida Nini kaka?? Tuambie tukusaidie mapema… hatutaki viluo huko mbele…
MDAA WOWOTE TUNAWEZA KULETEWA MAITI KUJA KUIZIKA?
Ndugu zangu serikali na watu wote,
Kwa uchungu mkubwa sana, naombeni tumweleze ndugu malisa enzi za uhai wake !
Kosa la malisa ilikuwa yeye kupinga mchakato wandani wa CCM! Au ni pale alipofungua mashitaka ya kumpiga samia kugombea urais
Au kosa lake lilikuwa ni yeye kusema wananchi wote watafanya maandamano ya kumpiga #Samia !
Mzee huyu hakuna mtu anawaza juu ya usalama wake zaidi, watanzania wanasahau kuwa hizi habari za wasani kuvaa uchi, ugomvi wa dotto magari na mwakibete, simba kuchabanga haya sio yetu sababu watanzania tunafaha kujifunza kumia na mateso ya wale wote wanajitaidi kulia na nafasi zetu.
Mzee huyu,
Amekuwa kama nothing sababu yale anayofanyiwa ni mazito ikiwemo kufanyiwa mateso kwa umri wake huu _ ni kitendo kibaya sana anachopitia ,
Je tusubirie tranding ya Mzee bujiku anayesema tupatane ikiwa ndani kuna watu wanalia kwenye uvugu wa mateso, kama tuliweza kupaza sauti Mwandamo akatoka huyu mzee ni nani wakumtetea ikiwa hana dawa wala matibabu !
Mnasubiria
Jeneza lake !
Sio kwa ubaya mimi sishauri mtu kufanya biashara ya SIMU kama unajitafuta huna uwezo wa kuuza SIMU daily. Huna ecosystem ya repair, police backup nk
-Kama unaanza focus na accessories zinatoka daily ila zina faida walau *2
Kwa maelezo zaidi press 1.
Baada Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kumshikilia Clement Mwandambo kwa zaidi wiki moja jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi yetu.
Leo Wakili Hekima Mwasipu na Philip Mwakilima wamefungua kesi Mahakama kuu ya Mbeya kuitaka Mahakama kuu iliamuru Jeshi la Polisi limfikishe Mahakamani Clement Mwandambo.
REPOST 200
#FreeClementMwandambo
#TUTAKUWEPO🫵😎
Mdogo wangu Waziri kubali uhamisho wa Kwenda China ubalozini, ULIJISAHAU sana ukavuka mipaka pale Ikulu; Sasa nasikia HUTAKI kwenda na unakesha kwa Waganga kupindua meza. Nenda China, wewe bado kijana mdogo na usijifanye Mwamba!
Kama relationship hai workout, read between the lines.
Usisubiri neno Go wakati sense imeshakuonyesha its an End, look at her.
1. Nature ya mawasiliano
2. Care+ Submissiveness
3. Respect + Availability
4. Her energy to keep you
5. Sexing rate.
Unapima hayo kwa kuzingati past na present changes zikiwa kubwa call and tel her, kama inaendelea kujitokeza just know she is not the one.
Enyewe we should focus katika amani ya moyo tunapokua katika mahusiano na sio vinginevyo.