Msimu huu kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya vilabu idadi ya timu kwenye kila Taifa kwa upande wa East africa
TANZANIA 🇹🇿 4
KENYA 🇰🇪 1
UGANDA🇺🇬 1
BURUNDI 🇧🇮 1
RWANDA🇷🇼⛌❌❌
PESA ni sehemu ya mahusiano tena huja automatically, ila mapenzi ni hisia. Unaweza kuwa na mtu mwenye pesa lakini mahusiano yako yawa na kutoa machozi kila siku
Ishi na mtu kwa moyo na kwa hisia, pesa zitakuja kutokana na upendo wenu, usiishi na mtu kwa mapenzi ya pesa.
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.