Mungu akiona huwezi kutoka kwenye hayo mahusiano ataruhusu huyo mpenzi wako akupige matukio ya uhakika mpaka akili ikukae sawa ili uamue mwenyewe kumwacha.
Bila Mawasiliano hakuna mahusiano, Bila heshima hakuna mapenzi, Bila huruma hakuna Upendo na bila kuaminiana hakuna sababu ya kuendelea na Hayo mahusiano
Inawezekana unapitia magumu na maumivu na unajiuliza mbona Mungu yupo kimya. Ukweli ni kwamba Mungu anaona unayopitia na yupo kimya kwa vile anajua huwezi kushindwa na anakuandaa kabla ya kukuinua. Vumilia bado kidogo tu.
Kama unaweza kuwapatia milo mitatu kwa siku, kama unawavalisha nguo, kama unaweza kulipa ada, kodi, matibabu, kama upo karibu mke na watoto wanapokuhitaji kama unawaonyesha upendo.
Hayo yanatosha huitaji kuwa mkamilifu jitahidi uwe baba bora tu.
Mtu mmoja anafanya kazi ya kipato cha chini lakini anaifurahia muda wote. Na alipoulizwa siri ya kuridhika na kazi hiyo alijibu hivi
Miaka kadhaa iliyopita amekua akiomba Mungu apate kazi na sasa amepata., anaamini maombi yake yamejibiwa.
Hii sio motivation ila ; Kila siku jitahidi kufanya kitu sahihi,,ifanye kama siku yako ya mwisho,,Rudia siku zote. Baada ya hapo Muachie Mungu. Kumbuka muda ni hazina.
Eeh Mwenyezi Mungu, Naomba neema yako iniongoze leo.
Nipe nguvu ninapokuwa dhaifu, hekima ninapofanya maamuzi, kibali katika kazi ya mikono yangu, na moyo wa kubaki mwaminifu kwako.
Nifundishe kutegemea neema yako kuliko uwezo wangu.
Katika jina la Yesu Kristo, Amina.🙏🏼
Good morning my X friends.
Nakuhakikishia hakuna silaha itakayoundwa dhidi yako itafanikiwa . Hakuna uongo utakaosemwa juu yako utaaminika.
Uwe na sabato njema 👋