Sehemu ya Tatu.
Shuhuda wa tukio la ukamatwaji wa msaidizi wa Tundu Lissu, Allan Macha amesimulia namna ambavyo David Mghanja alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 21 Mei 2026 makao makuu ya CHADEMA