MFAHAMU BULLET ANT
Bullet Ant ni mmoja wa wadudu wanaovutia zaidi kisayansi duniani kutokana na sumu yake, tabia zake, na mfumo wake wa maisha. Ni mchwa mkubwa anayepatikana kwenye misitu yenye unyevunyevu ya Amerika ya Kati na Kusini hasa Brazil, Peru, na Costa Rica.