“Allahumma innaka afuwwun tuhibbul afwa fa’afu anni.”
“Rabbi inni lima anzalta ilayya min khairin faqeer.”
“Laa ilaha illa anta subhanaka inni kuntu minaz zalimin.”
“Hasbunallah wa Ni’imal wakil.”
Kila mwaka unatarehe na mwezi wa kifo chako unafanikiwa kupita, Ila kuna mwaka hauta pita, Mimi na wewe hatujui ni lini Tumuombe Mungu Atupe Mwisho Mwema.
Men,
— If you are a payslip employee,
Start building other streams of income.
It will get to a point where you won't bother checking if salary has been paid.
When colleagues complain, you also "complain," but deep down, you are safe.
Start today.
#MasculinitySaturday
Kutunza familia sio jambo dogo hata kidogo. Mwanaume lazima uhakikishe familia yako inapata mahitaji yote ya msingi. Tatizo vijana wengi wana'olea nyege, hawawezi kufanikisha familia wala kuishi ndoa. Sikilizeni vijana, kuoa sio kazi; kazi ni kutunza familia na kuishi ndoa.
Mil 250 kwa kikao tu kimoja ???
Halafu kina Sanga wanapigishwa kwata magereza, kina mdude matibabu ni huruma za Watanzania
Akili tumepewa na kila mtu ana zake.