SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Zaidi https://t.co/P2bs8TZSkR
#JamiiForums#Utawala
@PMadeleka Nna kukubali sana mkuu kwa kila unacho kifanya hata kama haki pendezi kwenye macho ya watawala , alie juu ya yote akulinde akutunze na akujaalie afya njema.
Kwa ambao hamuelewi, why suddenly mashoga wamekuwa na confidence kubwa hivi ni sababu wametumwa na serikali yenyewe ili serikali iweze kujitetea UN kuwa Tz kuna haki za binadamu.
Serikali haram iko kwenye matatizo juu ya haki za binadamu, na hii wiki iliyoisha kulikuwa na hearing juu ya hili so wakaona wawatumie hawa kuonyesha kuna haki za binadamu, ila serikali haram hawana akili maana kwa sasa huko UN wanachomaanisha ni haki za watu kuongea, uhuru wa vyombo vya habari, haki za wananchi kuandamana bila kupigwa risasi, haki ya kuwa na demokrasia, haki ya Watanzania kutobambikiziwa kesi za uhaini na Ugaidi.
@UNHumanRights@UN_HRC The Tanzania government is gaslighting you.
The first video was taken at a police station in Zanzibar he was raped by the police after this video was taken. He was raped because he is from Mainland Tanzania and gay.
The Tanzanian police terrorizes everyone, gays and non gays. We are all living in fear.
Tuliwaambia wamepanga kumfunga miaka mitano!
Mnaona sasa? Machawa muwe mnatuheshimu! Mnapenda kusema tunatoa matango pori - ila mabosi wamefuata script ile ile ya Abduli na mama yake!
We won on all levels! You loose suckers!
Uzuri tulishajua na kujiandaa - you will never know peace!
Mwachieni Lissu! Mnachofanya majaji ni kupiga sarakasi na taulo! ACHENI ❌
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Solidarity ✊🏽
Nawapongeza sana @ChademaTZ2
Mmekuwa mfano wa kuigwa!
Leo mmefika mahakamani kwa wingi pamoja na wengine kufukuzwa na kuumizwa mmesimama imara
Msiyumbe - nyie ndo frontline ya harakati hizi ngumu! Leo nimeona Lissu amefarijika na amekuwa imara sana
Mshikamane achaneni na madalali cheap wa Abduli
Dear World
This is why we say Samia Suluhu is a murderer and liar
She said she will not shutdown the internet again in November 2025
A year later, she is busy restricting the internet!
She has FAILED to keep any promises coz she never meant ot - except the threats tp kill and spill blood!
#SamiaMustGo
🚨‼️#Tanzania ‼️
I am receiving information that the police are beating people who have been turned away and even gone inside Catholic church grounds to tear gas, arrest people!
Social media has been restricted - Youtube and Instagram are only accessible with VPN
Situation is deteriorating!
#FreeTunduLissu
@millardayo Mchungaji Rose Masesa, Dada wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema familia haijakata tamaa baada ya hukumu ya Lissu kwani wana imani siku moja haki itapatikana.
As an American constitutional lawyer, I have personally litigated cases defending the rights to free expression and due process. These are fundamental principles of human liberty. For that reason, I am closely following the outcome of Tundu Lissu’s trial proceedings, and the broader implications for the rule of law.
Mtu mmoja tu anaamua kuzima internet nchi nzima!!
Utawala wa aina hii ndio tunaukataa na kuupinga.
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mood na hisia za mtu mmoja.
. @godbless_lema msikilize Lissu kwa makini.
‘ikiwa hali itakuwa mbaya, mapambano yataendelea”
Huu ndio msimamo wa Tundu Lissu, mwanaume mwenye balls.
Sasa hizo “strategic engagements” zako zikome mara moja. Lissu hataki kutoka kwa njia haram unazofanya wewe na watesi wetu. Anataka kutoka kwa kutumia utawala wa sheria ili aweze kuwa mpinzani wa kweli.
Lissu hataki kurudia kosa la Mbowe, kutoka jela kwa “huruma” za watesi wake.
Kila Mtanzania anaelewa kuwa mtu unapokubali uhuru wako uwe chini ya mwenyekiti wa CCM, kwamba yeye ndo anaweza kukufunga na kukuachia huru, huwezi kuwa mpinzani wake bali utakuwa puppet wake huku unajifanya mpinzani. Mfano huu tuliona kwa Mbowe, alikaza siku zote mpaka siku alipokubali kutoka jela kwa maelewano na Samia Suluhu na sio kutoka kwa utawala wa sheria. HILI KOSA HALITAKIWI KURUDIWA EVER AGAIN!!!!!!
Lissu kaamua kukaza mpaka haki itakapopatikana, sasa nyie wanasiasa wa hovyo mnaojifanya mnampenda Lissu kuliko wananchi ambao Lissu anawapigania tulizeni makalio yenu yaliofika bei za kina Abdul. Lissu hataki short cut na Watanzania hatutaki short cut.
TUNATAKA UTAWALA WA SHERIA NA HAKI na sio mambo ya kupigia simu na kuwapiga magoti watesi wetu……
Baba yetu, Mwalimu wetu, kiongozi wetu, mpambanaji wetu.
Anateseka kwa ajili yetu, anapitia moto mkali kwa ajili yetu.
Tundu Lissu yuko tayari hata kukiona kifo kwa ajili yetu
Je sisi Watanzania tuko tayari kufanya nini kwa ajili yake? Hili ndio swali?
Watanzania tusimuangushe Lissu, kama jinsi yeye yuko tayari kufa kwa ajili yetu hata sisi tuwe tayari kwa hilo juu yake… PERIOD!!!!!
Wakati Lissu anafanya mitigation alianza kwa kusema;
“Historia haijawahi kuwa nzuri kwa Majaji wanaowaonea wasio na hatia”
na akamaliza kwa kusema “Mimi siombi msamaha kwa kuwa sio mkosaji, kwa sasa nimemaliza, toeni huo uamuzi mlioelekezwa” 💪🏿💪🏿💪🏿