@MaamaKampala21 I remember these sponges when I was a kid back then in our village were very common na tumetumia sana na sasa pia zinapatikana mpaka mijini zinauzwa.
@SharonMontana20 Naamini Mwenyezi Mungu yupo kutokana na kinachoendelea ulimwenguni na mifano hai kwangu napomuomba na anajibu kwa wakati wake sahihi. Mungu yupo amini tuu ila kumuelewa unahitaji kuwa na uelewa wa kiroho which is beyond our normal understanding.